Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

At least wangefanya 16Gb coz 8gb 2019 siyo kabisa!!!
Ni Kama vi Tecno s2,F1,f2 na f3
Kuna watumiaji wenye matumizi madogo ambao wakiweka WhatsApp na FB basi inamtosha. Pia lengo lao ni kuwafikia wateja wenye vipato vyote.
 
Snapdragon na mediatek wapi mkuu wewe unajua ukishika xiaom unajua umeshika simu xiaom hata ikiwa rom iko 8GB inaweza ikawa nzuri sio tecno wanakujazia mi app kibao hata usioitaka tecno sports Sijui video za manual kabla hujaweka zako wao tecno washajua unataka app zao zisizo na maana
At least wangefanya 16Gb coz 8gb 2019 siyo kabisa!!!
Ni Kama vi Tecno s2,F1,f2 na f3

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Techno ni was€nge tu sina hamu nao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tecno ni waseng..e kum.amake
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo zipo boss kuna Redmi 6A, na baadae watatoa Redmi 7A.

Copyright [emoji767] 2017-2019 Mr. Mobile, Inc. All Rights Reserved.
Mkuu shida inaweza kuwa nini note 6 pro yangu inatafuna sana umeme na ina week 3 tu ni miui 10 au nini boss? Pia je kama ni miui 10 wakifix si naweza nikawa nishapoteza battery au kipi kitafanya battery iwe poa tena.
 
Mkuu pole sana kwa hiyo changamoto ingawa na mimi natumia hiyo simu but sijaona hiyo chamgamoto nikiamka ausubuhi na 100% data huwa ipo ON na matumizi ya kawaida kuongea na simu,sms, na kupitia social network plus gaming mara moja moja hadi kufika saa nne usiku betri inakuwa na around 40%.

Wewe kwako inakuwaje mkuu.

SangaweJr
 
Ni heavy User wa Data on kutokana na pilika zangu ila kuanzia asubuhi hadi saa 12 inakuwa imekata na naona charge inavoshuka kuna mda hata kama iko idle hivi.
 
Mkuu shida inaweza kuwa nini note 6 pro yangu inatafuna sana umeme na ina week 3 tu ni miui 10 au nini boss? Pia je kama ni miui 10 wakifix si naweza nikawa nishapoteza battery au kipi kitafanya battery iwe poa tena.
Simu za Android (MIUI) kwa sasa zina battery management ambayo ipo kwenye OS.
Fungua Setting. Halafu nenda kwenye Battery na utaona taarifa za muhimu kama vile wakati uliobaki. Pia kuna options nyingine mbili: Power saving mode na Ultra power saving mode. Chagua mojawapo ya njia hizo kufanya simu yako iweze kutunza charge.
Uelewe kwamba moja ya njia hizo zinaweza ku limit matumizi ya simu yako.
Unaweza pia kuongeza Battery Life kwa kupunguza idada ya Apps zinazo run kwenye simu yako.
Maelezo zaidi nimekutumia inbox.

Copyright [emoji767] 2017-2019 Mr. Mobile, Inc. All Rights Reserved.
 
Hupati chini ya laki mbili hizo boss!!
Afu kitu Cha MTK hata kama ni helio mzuka unatoweka kabisa
The following is the order of the best Mediatek processor.

1. Helio P90 = 110 (Snapdragon 670 = 111)
2. Helio X30 = 109
3. Helio P70 = 99
4. Helio P60 = 98
5. Helio X27 = 85
6. Helio P35 = 81
7. Helio P30 = 80
8. Helio X23 = 79
9. Helio P23 = 79
10. Helio X25 = 77
11. Helio X20 = 75
12. Helio P25 = 75
13. Helio P20 = 74
14. Helio P22 = 69
15. Helio A22 = 66
16. Helio P18 = 61
17. Helio P10 = 59
18. Helio X10 = 59
19. MT6750T = 51
20. MT6739 = 50
21. MT6738 = 49
22. MT6753 = 49
23. MT6750 = 48
24. MT6752 = 48
25. MT6737T = 46
26. MT6737 = 45
27. MT6735 = 42
28. MT6732 = 41

Copyright [emoji767] 2017-2019 Mr. Mobile, Inc. All Rights Reserved.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…