Shaffin Simbamwene
JF-Expert Member
- Nov 16, 2008
- 2,156
- 1,535
Hahahah dah hilo Dongo hapana.
1.XIAOMI REDMI S2
2.TECNO S2
Bila ya shakaJamaa atakuwa anazungumzia huyo andunjee no 2
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahah dah hilo Dongo hapana.
Hahaha mkuu S2 vya tecnoS2?
Kuna:-
1. Xiaomi redmi S2 3gb...32/64GB ROM
2.Tecno S2 512Mb...8GB ROM
Bora ungekuwa specific kusema ni hiyo Tecno ambayo haifai hata kujifunzia
Xiaom redmi S2 yenye 64 GB inakaa kwenye bei gani hadi mikononi Dar?View attachment 1016087
1.XIAOMI REDMI S2
View attachment 1016088
2.TECNO S2
Jamaa atakuwa anazungumzia huyo andunjee no 2
Huawei y530 niliyomuachia dogo si bora mara mia kuliko hizo
Huawei y530 niliyomuachia dogo si bora mara mia kuliko hizo
Kama 380,000 hivi ikiwa utaagiza mwenyewe.Xiaom redmi S2 yenye 64 GB inakaa kwenye bei gani hadi mikononi Dar?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo ni tecno nahis s2 redmi haiwezi shushwa hadhi kiasi hiko.Xiaom redmi S2 yenye 64 GB inakaa kwenye bei gani hadi mikononi Dar?
Sent using Jamii Forums mobile app
Chief-MkwawaBora sana. halafu wabongo sisi ni uvivu tu kuagiza vitu vizuri na mshukuru sana CHIEF MKWAWA kudadavua haya ma simu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu yajenge na Mwl.RCT or msauziyXiaom redmi S2 yenye 64 GB inakaa kwenye bei gani hadi mikononi Dar?
Sent using Jamii Forums mobile app
NyongezaDar ni @Mwl.RCT territory
- Utaratibu wa kuweka order nimeweka hapa: www.bit.ly/101buy4meXiaom redmi S2 yenye 64 GB inakaa kwenye bei gani hadi mikononi Dar?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo Xiaomi sio yeboyebo bali ni simu unique unaweza kujikuta kitaani unayo peke yako siyo Kama wengine ukichomoa kwenye dala dala Kila mtu anayo.
Hizo Xiaomi sio yeboyebo bali ni simu unique unaweza kujikuta kitaani unayo peke yako siyo Kama wengine ukichomoa kwenye dala dala Kila mtu anayo.
Upatikanaji wake ndio mpaka utume hela then unaletewa mzigo hakuna Mambo ya nipe nikupe labda ukubali kuuziwa Bei ya kukomoa toka kwa aliyeagiza tayari.
Mnyama gani Huyo?Hakika mkuu, hizi vitu unique sana kwa hapa TZ labda ukubali kuuziwa cha juu. Ila nimeona Jumia zipo ila bei mkasi.
View attachment 1016868View attachment 1016869
Mi 6 hiyo. Redmi Go ni low-end, kwa wenye kipato cha chini mkuu, wasiokuwa na uwezo wa kukamata mid-range au high-end.Mnya
Mnyama gani Huyo?
Xiaomi wamechemka kwenye Android go coz 8gb Rom siyo mzuka kabisa
At least wangefanya 16Gb coz 8gb 2019 siyo kabisa!!!Mi 6 hiyo. Redmi Go ni low-end, kwa wenye kipato cha chini mkuu, wasiokuwa na uwezo wa kukamata mid-range au high-end.