Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Android P-inspired Volume controls
IMG-20190204-WA0009.jpeg
IMG-20190204-WA0010.jpeg
 
Mkuu hii feature nimekuwa addicted nayo kwasasa nashindwa kutumia zile navigation key za chini. Huwa na weka full screen mode. Natumia hiyo gesture.

SangaweJr
Yap, wameweka hizi navigation gestures hili mtu upate urahisi wa kutumia simu kwa mkono mmoja, maana kwa ukubwa wa screen za simu za sasa hivi mtu unakuwa hauwezi kutumia simu kwa mkono mmoja.
 
Attachments

  • miui-10-app-swicth.gif
    miui-10-app-swicth.gif
    238.5 KB · Views: 59
  • miui-10-back.gif
    miui-10-back.gif
    249.3 KB · Views: 65
Tatizo bei
Bado TECNO ataendelea kukimbiza kwa Africa
Kwa Asia yupo HUAWEI
Awali nilikua na mawazo Kama wewe ila baada ya jamaa kuniazimisha niitumie xiaom kwa wiki 1 nilimganda aniachie yaani xiaom ni balaa na akanifundisha kutafuta simu online hadi Sasa naenjoy xiaom.

Nilichogundua ni kwamba xiaom cheap Sana then nzuri saaana kuliko tecno.ukibena tecno utafikiri umebena kufuri ya shaba.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zinapatikana hapa TZ?
Kwa laki 2.5 naweza pata aina gani
Vipi kuhusu hizi Oneplus

Back
Top Bottom