Huyu aliyeandika haya unaweza kuta ana li-Samsung au li-iPhone lake ambalo halina tofauti na fridge kwamba ukilitoa kwenye umeme nusu saa tu limezima au ukikutana naye ukam-search humkosi kabeba charge,power bank mbili kwamba moja ikiisha faster achomeke nyengine wakati hii iliyoisha ikichajiwa tena.
Tunaishi kwenye ulimwengu wa technologies vipi mtu unashindwa kutafuta kitu kipya,ladha mpya?kila siku kuna watu wanavumbua vitu vipya kuwazidi wale waliobuni hivi vinavyotumika sasa ila watu wameishia ku-kopy tu yale yale waliyofanya wengine kutafuta vyao hawataki.
Mwanzo nilikuwa na mawazo kama haya ila baada ya kujaribu sasa nimekuwa sichaji simu kwa lazima nachaji pale ninapoamua kiasi sikumbuki ni lini simu yangu imepiga alarm kuwa battery iko low,data sizimi muda wote ninaokuwa idle nacheza na simu pia nipo tofauti na wengine,camera nzuri etc.
Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk