Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Ushuru wa stamp tofauti na kodi. Pale kuna TRA so walikuwa hawazingatii sasa hv wanakomoa kwa parcel kubwa ikiwa mzigo mdogo una dirisha lake na hautozwi chochote

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ujue DHL in salama zaidi kuliko posta ila tumewakimbia kukwepa gharama!!
Kama TRA wameanza kutukomoa huko posta natabiri soon tutaacha kulipia masanduku na kuhamia DHL,FEDEX etc
 
Ndio nikaenda lipia kwa Wakala nje na sio Mm tu nilipokwenda niliwakuta wengine pia. Hasa ukitumiwa msg mzigo wako umeandika ( mf. RDP 152) ujue kodi inakuhusu

Sent using Jamii Forums mobile app
Nikienda posta huwa naona watu walioagiza mizigo wanaambiwa waende TRA. Lakini mizigo niliyochukua recent sijalipia kodi,... Ni simu za mkononi pamoja WiFi router.
 
Mkuu ujue DHL in salama zaidi kuliko posta ila tumewakimbia kukwepa gharama!!
Kama TRA wameanza kutukomoa huko posta natabiri soon tutaacha kulipia masanduku na kuhamia DHL,FEDEX etc
Makato ya posta ni VAT only, but hao DHL wanamakato mengi sana, simu ya $100 tax na custom duties infaka laki na zaidi.
 
Back
Top Bottom