Mr. Mobile
JF-Expert Member
- Aug 28, 2017
- 1,439
- 1,633
Okay, wasiliana nae tena kama atatuma kwa wakati, hili ujiandae kuchukua kwenye store nyingine.Ila mwisho Jana nimeangalia alikua anatuma TZ,Leo naona kaweka hatumi Tz. Sijui Shida ni nini?!
Ngoja nisubiri hizo siku 10-13 alizoniahidi nione kama atatuma au la
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app