Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Link imegoma
IMG-20190127-WA0000.jpeg
 
Daah! Ikifika hiyo umeramba dume ni moja ya power bank yenye akili sana, nazielewa sana hizi power bank. Mimi niliwai agiza mbili zikapotea intransit, natumai yako itafika salama.
 
Maximum mzigo ndani ya siku kumi unakuwa upo nchini, pia inategemea na kasi ya watu wa clearance pale JNIA, unaweza kufika mapema zaidi.
sawa mkuu na vipi kuhusu tracking inaonesha kila kituo kama ilivo kwa aliexpress au nasubiria tu mpk ufike maana ni kama week hv nmeagiza mzigo lakn tracking hazisomi inaonesha tu from singapore to Tz

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Me nadhani ingekuwa poa kama mtu angeshusha maelekezo au maelezo ya kutosha kuhusu njia ya shipping anayotumia kufikisha mzigo wake bongo ili wengine wafanye refference pindi watakapotaka kuagiza au kununua kitu From abroad.

Binafsi niliagizaga Xiaomi pocophone f1 ya ram gb 6 internal 128 from gearbest kwa laki 869,000 /= plus shipping fees ya dhl ndani yake nikatozwa 120,000/= as custom charge ofcoz niliumia kwa hiyo custom charge cuz sikuitegemea.

Ntashusha breakdown ya hii kitu soon.

Ila nataka agiza screen protector na Case za hii pocophone kupitia Posta au ems ila sasa sina mwongozo ulionyooka , So ni vyema mtu angeshuka maelezo ya kutosha kwa manufaa ya wote.

Amani iwe nanyi Ndg zangu.

Hizi expedited shipping services tracking zake zipo accurate sana. Wana update kila siku, kituo kwa kituo, nchi kwa nchi.
 
Me nadhani ingekuwa poa kama mtu angeshusha maelekezo au maelezo ya kutosha kuhusu njia ya shipping anayotumia kufikisha mzigo wake bongo ili wengine wafanye refference pindi watakapotaka kuagiza au kununua kitu From abroad.

Binafsi niliagizaga Xiaomi pocophone f1 ya ram gb 6 internal 128 from gearbest kwa laki 869,000 /= plus shipping fees ya dhl ndani yake nikatozwa 120,000/= as custom charge ofcoz niliumia kwa hiyo custom charge cuz sikuitegemea.

Ntashusha breakdown ya hii kitu soon.

Ila nataka agiza screen protector na Case za hii pocophone kupitia Posta au ems ila sasa sina mwongozo ulionyooka , So ni vyema mtu angeshuka maelezo ya kutosha kwa manufaa ya wote.

Amani iwe nanyi Ndg zangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa bidhaa kama protector & case hauna haja ya kutumia expedited shipping, nakushauri utumie standard shipping ya kawaida tu. Mzigo utafika nchini ndani ya wiki tatu, pia standard shipping kwa items ndogo kama hizo accessories hakuna mambo ya custom duties, hata kama ikitokea ni chini ya elfu kumi.
 
Naimiliki kama hiyo mwaka 3 sasa kitu hakijachuja ubora.
Hiyo nyingine nimemchukulia mamiemwali kupunguza misuguano.
Siku hizi hata eBay hawazitumi ni mwendo wa kuvizia tu.
Ni kweli mkuu, kuzipata ni shughuli kidogo, sababu ya sheria mpya ya usafirishaji inakataza kutuma bidhaa zenye high capacity lithium battery kwa njia ya posta.
 
Ni kweli mkuu, kuzipata ni shughuli kidogo, sababu ya sheria mpya ya usafirishaji inakataza kutuma bidhaa zenye high capacity lithium battery kwa njia ya posta.
Hizo kitu hacha kabisa niliwahi kuagiza 20,000 mah pamoja na smartphone mbili kule eBay then nikapoint address ya mshkaji Rochester vimefika fresh,jamaa akavifungasha kuvituma huku via USPS mzigo ukakwama Nairobi!!
Baada ya kufuatilia naambiwa umerudishwa ulipotoka kisa high capacity lithium so ikabidi jamaa atume upya vikiwa separate mbona nilikoma kulipia shipping fee ya kila kimoja.
 
Daah! Ikifika hiyo umeramba dume ni moja ya power bank yenye akili sana, nazielewa sana hizi power bank. Mimi niliwai agiza mbili zikapotea intransit, natumai yako itafika salama.
Mambo yaleyale hakuna update tracking system, kumuuliza jamaa eti nisubiri hadi 20/02 au niopen dispute yaani najishauri hapa cha kufanya sababu lengo kupata kifaa so why nilijiripua
Screenshot_AliExpress_20190129-084919.png

Screenshot_AliExpress_20190129-085244.png
 
Mkuu SangaweJr naomba Link ya store uliyoagizia.

msauziy Ile order ya kwanza nimeongea na seller amekubali kuisitisha, nasubiri refund Niagize Kwenye store nyingine.

Sent using Jamii Forums mobile app
US $181.99 20%OFF | Global Version Xiaomi Redmi Note 6 Pro 4GB 64GB 6.26" 19:9 Full Screen Dual Camera Smartphone Snapdragon 636 Octa Core 4000mAh
US $190.18 20% OFF|Global Version Xiaomi Redmi Note 6 Pro 4GB 64GB 6.26" 19:9 Full Screen Dual Camera Smartphone Snapdragon 636 Octa Core 4000mAh on Aliexpress.com | Alibaba Group

Sent using SangaweJr
 
Mkuu SangaweJr naomba Link ya store uliyoagizia.

msauziy Ile order ya kwanza nimeongea na seller amekubali kuisitisha, nasubiri refund Niagize Kwenye store nyingine.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu jamaa wapo kwenye maadhimisho yao hadi 20/02/2019 so kabla ya kufanya manunuzi ni bora ukamuuliza seller kama anaweza kuship mzigo kipindi hiki cha Chinese Festival
 
Back
Top Bottom