Mr. Mobile
JF-Expert Member
- Aug 28, 2017
- 1,439
- 1,633
Ndio haupati, ila kwenye performance zipo vizuri zaidi kuliko hiyo Snapdragon ya kizamani.Hupati chini ya laki mbili hizo boss!!
Afu kitu Cha MTK hata kama ni helio mzuka unatoweka kabisa
Hizo simu zinapitwa na Camon 11,Camon x,Camon iACE2X kwa maana kwamba Tecno wanatengeneza bidhaa Bora kuliko Xiaomi.Hupati chini ya laki mbili hizo boss!!
Afu kitu Cha MTK hata kama ni helio mzuka unatoweka kabisa
Hizo simu zinapitwa na Camon 11,Camon x,Camon iACE2X kwa maana kwamba Tecno wanatengeneza bidhaa Bora kuliko Xiaomi.
Hata zile redmi note 4 walikuwa na version za SD na MTK hivyo hivyo ila za SD zilitoweka mapema na za mtk hata ukizitafuta leo utazipata.
Yaani MTK hapana kwakweli
Tunaibiwa sana mkuu.Nimeshangaa sana leo nimeingia duka moja la simu wanauza tecno tu, yaani bei ni kuanzia laki 4 hadi laki 9 (phantom 8)
Hiyo unaipata chini ya TZS 400,000 yenye Snapdragon 625, 4GB RAM, 64GB ROM.Xiaom redmi S2 yenye 64 GB inakaa kwenye bei gani hadi mikononi Dar?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nataka na mimi nijaribu hizi Xiaomi naandaa 250KTunaibiwa sana mkuu.
Copyright [emoji767] 2017-2019 Mr. Mobile, Inc. All Rights Reserved.
Nataka na mimi nijaribu hizi Xiaomi naandaa 250K
Latest model utapata, ila na hizi za Mediatek Chipset Redmi 6A, ila ni much decent.Nataka na mimi nijaribu hizi Xiaomi naandaa 250K
250k ni kwa ajili ya Tecno!
View attachment 1024129 Main Features:
● Xiaomi Redmi 6A 4G Smartphone 5.45 inch MIUI 9.0 ( Android 8.1 ) MTK6762M Quad Core 2.0GHz 2GB RAM 32GB ROM 13.0MP Rear Camera 3000mAh Built-in
● Display: 5.45 inch 1440 x 720 pixels
● CPU: MTK6762M Quad Core 2.0GHz
● System: MIUI 9.0 ( Android 8.1 )
● Optional Version: 2GB RAM + 32GB ROM VS 2GB RAM + 16GB ROM
● Cameras: 13.0MP rear camera and 5.0MP front camera
● Sensors: Ambient light sensor, Gyroscope, Distance sensor, E-compass, G-sensor
● Features: GPS, Glonass, AGPS
● Bluetooth: 4.1
● SIM Card: Nano Sim card + Nano Sim card / micro SD card
Copyright [emoji767] 2017-2019 Mr. Mobile, Inc. All Rights Reserved.
Ndio maana tunaagiza mkuu, tusave pesa.Huko mamtoni inauzwa tsh 256,000/= maana yake kwa hapa bongo utaipata siyo chini ya tsh 400,000/=!.....labda uwe mjanja uinunue online!
Source:https://m.gearbest.com/cell-phones/pp_009301085230.html
Mkuu nahitaji,redmi note 7,inapatikana kwa bei gani?Ndio maana tunaagiza mkuu, tusave pesa.
Copyright [emoji767] 2017-2019 Mr. Mobile, Inc. All Rights Reserved.
Inapatikana kuanzia US $180-$300 kulingana na Storage na Ram, ila kwa sasa zilizopo ni Chinese version pekee, ukitaka global version inabidi usubiri.Mkuu nahitaji,redmi note 7,inapatikana kwa bei gani?
How boss with quick ball method?
It is the most convenient way to take screenshots. Just tap on the Quick Ball and on screenshot icon. You can change the icon position from Quick Ball settings.How boss with quick ball method?
Thanks boss.It is the most convenient way to take screenshots. Just tap on the Quick Ball and on screenshot icon. You can change the icon position from Quick Ball settings.
Copyright [emoji767] 2017-2019 Mr. Mobile, Inc. All Rights Reserved.
Ngoma imedunda!!Hizi power bank kwenye usafirishaji kwa sasa zinaleta shida sana, sikilizia tu.