Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Hupati chini ya laki mbili hizo boss!!
Afu kitu Cha MTK hata kama ni helio mzuka unatoweka kabisa
Ndio haupati, ila kwenye performance zipo vizuri zaidi kuliko hiyo Snapdragon ya kizamani.

Copyright [emoji767] 2017-2019 Mr. Mobile, Inc. All Rights Reserved.
 
Hupati chini ya laki mbili hizo boss!!
Afu kitu Cha MTK hata kama ni helio mzuka unatoweka kabisa
Hizo simu zinapitwa na Camon 11,Camon x,Camon iACE2X kwa maana kwamba Tecno wanatengeneza bidhaa Bora kuliko Xiaomi.
Hata zile redmi note 4 walikuwa na version za SD na MTK hivyo hivyo ila za SD zilitoweka mapema na za mtk hata ukizitafuta leo utazipata.
Yaani MTK hapana kwakweli
 
Camon 11 na Redmi 6A wanatumia same chipset Mediatek Helio A22 (12 nm) pia fananisha bei ya hiyo simu ya Xiaomi yenye MediaTek ni chini ya 250k na Tecno Camon 11 ni zaidi ya laki tatu.

Copyright [emoji767] 2017-2019 Mr. Mobile, Inc. All Rights Reserved.
 
Nimeshangaa sana leo nimeingia duka moja la simu wanauza tecno tu, yaani bei ni kuanzia laki 4 hadi laki 9 (phantom 8)
 
250k ni kwa ajili ya Tecno!
-1737535925-923003079.jpeg
Main Features:
● Xiaomi Redmi 6A 4G Smartphone 5.45 inch MIUI 9.0 ( Android 8.1 ) MTK6762M Quad Core 2.0GHz 2GB RAM 32GB ROM 13.0MP Rear Camera 3000mAh Built-in
● Display: 5.45 inch 1440 x 720 pixels
● CPU: MTK6762M Quad Core 2.0GHz
● System: MIUI 9.0 ( Android 8.1 )
● Optional Version: 2GB RAM + 32GB ROM VS 2GB RAM + 16GB ROM
● Cameras: 13.0MP rear camera and 5.0MP front camera
● Sensors: Ambient light sensor, Gyroscope, Distance sensor, E-compass, G-sensor
● Features: GPS, Glonass, AGPS
● Bluetooth: 4.1
● SIM Card: Nano Sim card + Nano Sim card / micro SD card

Copyright [emoji767] 2017-2019 Mr. Mobile, Inc. All Rights Reserved.
 
Huko mamtoni inauzwa tsh 256,000/= maana yake kwa hapa bongo utaipata siyo chini ya tsh 400,000/=!.....labda uwe mjanja uinunue online!

Source:https://m.gearbest.com/cell-phones/pp_009301085230.html
View attachment 1024129 Main Features:
● Xiaomi Redmi 6A 4G Smartphone 5.45 inch MIUI 9.0 ( Android 8.1 ) MTK6762M Quad Core 2.0GHz 2GB RAM 32GB ROM 13.0MP Rear Camera 3000mAh Built-in
● Display: 5.45 inch 1440 x 720 pixels
● CPU: MTK6762M Quad Core 2.0GHz
● System: MIUI 9.0 ( Android 8.1 )
● Optional Version: 2GB RAM + 32GB ROM VS 2GB RAM + 16GB ROM
● Cameras: 13.0MP rear camera and 5.0MP front camera
● Sensors: Ambient light sensor, Gyroscope, Distance sensor, E-compass, G-sensor
● Features: GPS, Glonass, AGPS
● Bluetooth: 4.1
● SIM Card: Nano Sim card + Nano Sim card / micro SD card

Copyright [emoji767] 2017-2019 Mr. Mobile, Inc. All Rights Reserved.
 
It is the most convenient way to take screenshots. Just tap on the Quick Ball and on screenshot icon. You can change the icon position from Quick Ball settings.

Copyright [emoji767] 2017-2019 Mr. Mobile, Inc. All Rights Reserved.
Thanks boss.
 
Back
Top Bottom