nimekupata vyema.Hapana. Ila kuna muda bidhaa ikiwa kwenye "flash sale" huwa inashuka bei kwa asilimia kubwa, na ndio mtindo wanaotumia Xiaomi kuuza bidhaa zao na kufanya ziuzike sana kwa CN & IN.
Copyright [emoji767] 2017-2019 Mr. Mobile, Inc. All Rights Reserved.
Kabisa!nimekupata vyema.
kwa bei ya $200 ina maana mpk kufika huku inagonga 500k + gharama zote sio?
poa poa mkuuKabisa!
Copyright [emoji767] 2017-2019 Mr. Mobile, Inc. All Rights Reserved.
Mkuu nimo nakufuatilia hatua kwa hatua jinsi unavyotoa madini!Kabisa!
Copyright [emoji767] 2017-2019 Mr. Mobile, Inc. All Rights Reserved.
Karibu.
Hivi hao wanaotumia chinese version hawapati shida kwenye upande wa internert? maana chinese version si zinasapoti bands za china tu?Karibu.
Copyright [emoji767] 2017-2019 Mr. Mobile, Inc. All Rights Reserved.
hapana ni kwamba tu Chinese ROM ina offer features nyingi zaidi za miui kulko global kama ushawah tumia ROM zote nazan utakua ushaelewa...kwa swala la ubora pia simu huwa zinatofautiana nishawahi agiza Xiaomi moja kutoka aliexpress alf kuna jamaa akaja kuniletea moja used aina ileile kutoka china ambayo ilkua inatumika na mchina mwnyw aisee zilkua na utofaut Bro hasa katka quality ya display na camera pia.hata mimi napenda chinese version. tena nina wasiwasi hata ubora wa simu zao ni tofauti na global
Sent using Jamii Forums mobile app
hakuna kitu kama hko Chinese ROM ni operating system tu haihusian na maswala ya bands mm hapa natumia Chinese ROM toka 2016 sjawah pata tatzo la networkHivi hao wanaotumia chinese version hawapati shida kwenye upande wa internert? maana chinese version si zinasapoti bands za china tu?
simu wanazotumia kwao kule zinakua na quality kulko hz za global upande wa hardware wachina huwa wanajpendelea katka vitu vyao ila kwa swala la rom unaweza tumia yoyote kutokana na upendeleo wako lakn kama mzoefu wa simu za Xiaomi m nashauri Chinese version ni nzuri kulko globalHizo porojo tu! Kwa sheria za China matumizi ya huduma za Google zimepigwa marufuku, ndio maana kwenye matoleo ya simu wanazotumia wao hawaweki Google Services. Kwa upande wa hardware tofauti inakuwaga ni ndogo sana na global version, ila ubora ni ule ule.
Copyright [emoji767] 2017-2019 Mr. Mobile, Inc. All Rights Reserved.
Vipi kwenye lugha? Nisije iagiza ikawa kichina tupu nami sijui kichina, na mapungufu mengine ni yapi kama ntachukua china version?hapana ni kwamba tu Chinese ROM ina offer features nyingi zaidi za miui kulko global kama ushawah tumia ROM zote nazan utakua ushaelewa...kwa swala la ubora pia simu huwa zinatofautiana nishawahi agiza Xiaomi moja kutoka aliexpress alf kuna jamaa akaja kuniletea moja used aina ileile kutoka china ambayo ilkua inatumika na mchina mwnyw aisee zilkua na utofaut Bro hasa katka quality ya display na camera pia.
Sent using Jamii Forums mobile app
kuna option ya lugha 2 English na Chinese tofauti na global ambayo ina option ya lugha zaidi...mapungufu hutakuta apps za Google ambazo itabdi install mwnyw ni ktendo cha dk chache tu tofauti na hapo hakuna shidaVipi kwenye lugha? Nisije iagiza ikawa kichina tupu nami sijui kichina, na mapungufu mengine ni yapi kama ntachukua china version?
Sent using Jamii Forums mobile app
Matoleo ya China yanatolewa nchini China kwa matumizi ya Wachina. Na zinakuwa na apps nyingi za Kichina. Na OS (MIUI) ni tofauti kabisa na ile ya global. Inakuwa ina features nyingi, baadhi ya hizo features ni muhimu sana na nyingine ni useless labda uwe nchini China.hapana ni kwamba tu Chinese ROM ina offer features nyingi zaidi za miui kulko global kama ushawah tumia ROM zote nazan utakua ushaelewa...kwa swala la ubora pia simu huwa zinatofautiana nishawahi agiza Xiaomi moja kutoka aliexpress alf kuna jamaa akaja kuniletea moja used aina ileile kutoka china ambayo ilkua inatumika na mchina mwnyw aisee zilkua na utofaut Bro hasa katka quality ya display na camera pia.
Sent using Jamii Forums mobile app
mimi xiaomi yangu nililetewa na jamaa toka china na aliniambia kabisa hii ni bora kuliko global upande wa hardwaresimu wanazotumia kwao kule zinakua na quality kulko hz za global upande wa hardware wachina huwa wanajpendelea katka vitu vyao ila kwa swala la rom unaweza tumia yoyote kutokana na upendeleo wako lakn kama mzoefu wa simu za Xiaomi m nashauri Chinese version ni nzuri kulko global
Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi kwenye lugha? Nisije iagiza ikawa kichina tupu nami sijui kichina, na mapungufu mengine ni yapi kama ntachukua china version?
Sent using Jamii Forums mobile app
mimi natumia Chinese ni nzuri kulko global kwa asilimia zoteMatoleo ya China yanatolewa nchini China kwa matumizi ya Wachina. Na zinakuwa na apps nyingi za Kichina. Na OS (MIUI) ni tofauti kabisa na ile ya global. Inakuwa ina features nyingi, baadhi ya hizo features ni muhimu sana na nyingine ni useless labda uwe nchini China.
Watu wengine wanapenda ROM ya Kichina kwa sababu ya updates za haraka na ina features nyingi zaidi. Wengine wanasema ni imara zaidi kuliko global version. Baadhi wanasema ipo stable kuliko global version. Kwa upande wangu napenda global version tangu nilipoanza kutumia simu za Xiaomi maana simu ya kwanza kutumia ilikuwa Chinese version ilinishinda sababu ya bloatware.
Copyright [emoji767] 2017-2019 Mr. Mobile, Inc. All Rights Reserved.
yea ni kweli kabsa simu za kule ni bora kulko global mimi pia natumia ambayo nililetewa kutoka chinamimi xiaomi yangu nililetewa na jamaa toka china na aliniambia kabisa hii ni bora kuliko global upande wa hardware
Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo sio tatzo sababu apps karbia zote huwa zinafutika na pia unaweza kuziacha na zisaffect RAM kwasabb MIUI huwa haitoi permission ya autostart kwa apps mpk uziruhusu mwnywKuna apps nyingine ni useless za kichina mkuu zinakula RAM na ROM na hauzitumii. Yaan ina Chinese characters nyingi hata kama ukiweka English.
Copyright [emoji767] 2017-2019 Mr. Mobile, Inc. All Rights Reserved.
Kwenye upande wa software tofauti ni kubwa sana, ila kwa upande wa hardware quality bado sija prove kwakweli!yea ni kweli kabsa simu za kule ni bora kulko global mimi pia natumia ambayo nililetewa kutoka china
Sent using Jamii Forums mobile app