Arien
JF-Expert Member
- Aug 29, 2017
- 11,245
- 11,767
nimekupata vyema.Hapana. Ila kuna muda bidhaa ikiwa kwenye "flash sale" huwa inashuka bei kwa asilimia kubwa, na ndio mtindo wanaotumia Xiaomi kuuza bidhaa zao na kufanya ziuzike sana kwa CN & IN.
Copyright [emoji767] 2017-2019 Mr. Mobile, Inc. All Rights Reserved.
kwa bei ya $200 ina maana mpk kufika huku inagonga 500k + gharama zote sio?