Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Hapana. Ila kuna muda bidhaa ikiwa kwenye "flash sale" huwa inashuka bei kwa asilimia kubwa, na ndio mtindo wanaotumia Xiaomi kuuza bidhaa zao na kufanya ziuzike sana kwa CN & IN.

Copyright [emoji767] 2017-2019 Mr. Mobile, Inc. All Rights Reserved.
nimekupata vyema.
kwa bei ya $200 ina maana mpk kufika huku inagonga 500k + gharama zote sio?
 
Karibu.

Copyright [emoji767] 2017-2019 Mr. Mobile, Inc. All Rights Reserved.
Hivi hao wanaotumia chinese version hawapati shida kwenye upande wa internert? maana chinese version si zinasapoti bands za china tu?
 
hata mimi napenda chinese version. tena nina wasiwasi hata ubora wa simu zao ni tofauti na global

Sent using Jamii Forums mobile app
hapana ni kwamba tu Chinese ROM ina offer features nyingi zaidi za miui kulko global kama ushawah tumia ROM zote nazan utakua ushaelewa...kwa swala la ubora pia simu huwa zinatofautiana nishawahi agiza Xiaomi moja kutoka aliexpress alf kuna jamaa akaja kuniletea moja used aina ileile kutoka china ambayo ilkua inatumika na mchina mwnyw aisee zilkua na utofaut Bro hasa katka quality ya display na camera pia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi hao wanaotumia chinese version hawapati shida kwenye upande wa internert? maana chinese version si zinasapoti bands za china tu?
hakuna kitu kama hko Chinese ROM ni operating system tu haihusian na maswala ya bands mm hapa natumia Chinese ROM toka 2016 sjawah pata tatzo la network

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo porojo tu! Kwa sheria za China matumizi ya huduma za Google zimepigwa marufuku, ndio maana kwenye matoleo ya simu wanazotumia wao hawaweki Google Services. Kwa upande wa hardware tofauti inakuwaga ni ndogo sana na global version, ila ubora ni ule ule.

Copyright [emoji767] 2017-2019 Mr. Mobile, Inc. All Rights Reserved.
simu wanazotumia kwao kule zinakua na quality kulko hz za global upande wa hardware wachina huwa wanajpendelea katka vitu vyao ila kwa swala la rom unaweza tumia yoyote kutokana na upendeleo wako lakn kama mzoefu wa simu za Xiaomi m nashauri Chinese version ni nzuri kulko global

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hapana ni kwamba tu Chinese ROM ina offer features nyingi zaidi za miui kulko global kama ushawah tumia ROM zote nazan utakua ushaelewa...kwa swala la ubora pia simu huwa zinatofautiana nishawahi agiza Xiaomi moja kutoka aliexpress alf kuna jamaa akaja kuniletea moja used aina ileile kutoka china ambayo ilkua inatumika na mchina mwnyw aisee zilkua na utofaut Bro hasa katka quality ya display na camera pia.

Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi kwenye lugha? Nisije iagiza ikawa kichina tupu nami sijui kichina, na mapungufu mengine ni yapi kama ntachukua china version?

kuna option ya lugha 2 English na Chinese tofauti na global ambayo ina option ya lugha zaidi...mapungufu hutakuta apps za Google ambazo itabdi install mwnyw ni ktendo cha dk chache tu tofauti na hapo hakuna shida

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hapana ni kwamba tu Chinese ROM ina offer features nyingi zaidi za miui kulko global kama ushawah tumia ROM zote nazan utakua ushaelewa...kwa swala la ubora pia simu huwa zinatofautiana nishawahi agiza Xiaomi moja kutoka aliexpress alf kuna jamaa akaja kuniletea moja used aina ileile kutoka china ambayo ilkua inatumika na mchina mwnyw aisee zilkua na utofaut Bro hasa katka quality ya display na camera pia.

Sent using Jamii Forums mobile app
Matoleo ya China yanatolewa nchini China kwa matumizi ya Wachina. Na zinakuwa na apps nyingi za Kichina. Na OS (MIUI) ni tofauti kabisa na ile ya global. Inakuwa ina features nyingi, baadhi ya hizo features ni muhimu sana na nyingine ni useless labda uwe nchini China.

Watu wengine wanapenda ROM ya Kichina kwa sababu ya updates za haraka na ina features nyingi zaidi. Wengine wanasema ni imara zaidi kuliko global version. Baadhi wanasema ipo stable kuliko global version. Kwa upande wangu napenda global version tangu nilipoanza kutumia simu za Xiaomi maana simu ya kwanza kutumia ilikuwa Chinese version ilinishinda sababu ya bloatware.

Copyright [emoji767] 2017-2019 Mr. Mobile, Inc. All Rights Reserved.
 
simu wanazotumia kwao kule zinakua na quality kulko hz za global upande wa hardware wachina huwa wanajpendelea katka vitu vyao ila kwa swala la rom unaweza tumia yoyote kutokana na upendeleo wako lakn kama mzoefu wa simu za Xiaomi m nashauri Chinese version ni nzuri kulko global

Sent using Jamii Forums mobile app
mimi xiaomi yangu nililetewa na jamaa toka china na aliniambia kabisa hii ni bora kuliko global upande wa hardware

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vipi kwenye lugha? Nisije iagiza ikawa kichina tupu nami sijui kichina, na mapungufu mengine ni yapi kama ntachukua china version?

Sent using Jamii Forums mobile app

Kuna apps nyingine ni useless za kichina mkuu zinakula RAM na ROM na hauzitumii. Yaan ina Chinese characters nyingi hata kama ukiweka English.

Copyright [emoji767] 2017-2019 Mr. Mobile, Inc. All Rights Reserved.
 
Matoleo ya China yanatolewa nchini China kwa matumizi ya Wachina. Na zinakuwa na apps nyingi za Kichina. Na OS (MIUI) ni tofauti kabisa na ile ya global. Inakuwa ina features nyingi, baadhi ya hizo features ni muhimu sana na nyingine ni useless labda uwe nchini China.

Watu wengine wanapenda ROM ya Kichina kwa sababu ya updates za haraka na ina features nyingi zaidi. Wengine wanasema ni imara zaidi kuliko global version. Baadhi wanasema ipo stable kuliko global version. Kwa upande wangu napenda global version tangu nilipoanza kutumia simu za Xiaomi maana simu ya kwanza kutumia ilikuwa Chinese version ilinishinda sababu ya bloatware.

Copyright [emoji767] 2017-2019 Mr. Mobile, Inc. All Rights Reserved.
mimi natumia Chinese ni nzuri kulko global kwa asilimia zote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna apps nyingine ni useless za kichina mkuu zinakula RAM na ROM na hauzitumii. Yaan ina Chinese characters nyingi hata kama ukiweka English.

Copyright [emoji767] 2017-2019 Mr. Mobile, Inc. All Rights Reserved.
Hilo sio tatzo sababu apps karbia zote huwa zinafutika na pia unaweza kuziacha na zisaffect RAM kwasabb MIUI huwa haitoi permission ya autostart kwa apps mpk uziruhusu mwnyw

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom