bei inayotabiriwa ni Euro 600 mpaka 700,
-hupati oled kama ya iphone x
-hupati ile 3d scanner
-Hupati A11 soc
-Hupati camera nzuri kama ya iphone X
na mambo mengine mengi, hio oppo inaweza ikawa na value mbaya ya hela kuliko hio iphone.
kama unaipenda Oppo kanunue oneplus, na siku zote simu za R za oppo ndio hizo hizo zinakuwa oneplus, zinabadilika majina tu na specs, ambapo oneplus inakuwa na specs kali zaidi.
mfano R11 ilikuwa sawa na oneplus 5, R11s ni sawa na oneplus 5T , hivyo hii R13 sitashangaa ikiwa ni oneplus 6.