Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

bei inayotabiriwa ni Euro 600 mpaka 700,
-hupati oled kama ya iphone x
-hupati ile 3d scanner
-Hupati A11 soc
-Hupati camera nzuri kama ya iphone X

na mambo mengine mengi, hio oppo inaweza ikawa na value mbaya ya hela kuliko hio iphone.

kama unaipenda Oppo kanunue oneplus, na siku zote simu za R za oppo ndio hizo hizo zinakuwa oneplus, zinabadilika majina tu na specs, ambapo oneplus inakuwa na specs kali zaidi.

mfano R11 ilikuwa sawa na oneplus 5, R11s ni sawa na oneplus 5T , hivyo hii R13 sitashangaa ikiwa ni oneplus 6.
Mkuu hizi Google nexus zina nn cha ziada mbona iko ghali sana?
 
Nataka simu yenye betri nzuri, storage kubwa na RAM ya kutosha, pia kioo cha haja yaan 5.5 kwa tsh 200000 nichukue ipi wakuu?.
 
Muuzaji wa oppo tuwasiliane whatsapp +255713721317
 
Wana power bank nzuri sana.
Iliharibika sasa natafuta ingine.
Sijui Tz zinapatikana wapi maana iyo aliniuzua mkandalasi wa kichina alikuja nayo toka kwao
 
Kwa watu wa mazoezi isikupite hii smart band from Xiaomi Mi.
76febe6b4f2e02d2ba100cd694c1811d.jpg
6456b0013ddfb766bdd76Mkuu  ni waterproof eeeh
 
Mkuu hi kitu ni waterproof eeeh
Ndio ni waterproof..
- IP67 Waterproof
The IP67 waterproof allows the bracelet to be held in the water for a maximum of 30 minutes at a depth of 1 meter. ( Don't wear the bracelet when diving )
 
Back
Top Bottom