mats_
JF-Expert Member
- Apr 9, 2017
- 399
- 299
Mkuu kama ulkua umelog in na mi account ama mi cloud, bas bila shaka unaweza kuipata...Nilikuwa natumia Redmi note 3 ila imeibiwa. Ni simu nzuri sana zinakaa na chaji na utumiaji ni rahisi, camera ya ukweli processor nzuri pia. Na storage nzuri pia ambayo unaweza kusync vitu vingi ikiwemo contacts, images, notes, videos na messages za kawaida. Pia ina second space ambayo inaweza kuwa na apps zake tofauti na space ya kwanza (yaani kama windows anavyoingia admin na guest).
Natangaza rasmi kuhamia XIAOMI, na hata PC nitanunua za hii kampuni.
Natafuta mtaalamu anaeweza kunisaidia kuitrack simu yangu niipate tena, nimetumiwa ujumbe na fb huyo mwizi anajaribu kulogin kwenye account yangu ya fb.
Mwenye ujuzi huo at any cost awasiliane nami dm nataka kuirudisha ile simu.
cha msingi kama una boksi la cmu uloibiwa bas wasilisha na IMEI namba polisi...pia hili litakua msaada mkubwa sana kwako, naambatanisha picha uone site gan unatakiwa kuingia kwa kutumia kifaa kingine chochote cha kielektroniki ueze ku access simu yako uloibiwa maana uyo mtu awez futa account yako mpka awe na pasword
bas kama ulikua ume log in angalia mwsho wa picha ambatanishi utaona kuna sehem pameandikwa "find my device" na kwa chini kuna URL unaeza access katika browser yoyote ueze kuilock cmu yako ama kuilocate mahali ilipo...tena uzur uyo mwizi anawasha na data maana umesema anajarbu ku log in kwa account yako ya facebook