Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Nilikuwa natumia Redmi note 3 ila imeibiwa. Ni simu nzuri sana zinakaa na chaji na utumiaji ni rahisi, camera ya ukweli processor nzuri pia. Na storage nzuri pia ambayo unaweza kusync vitu vingi ikiwemo contacts, images, notes, videos na messages za kawaida. Pia ina second space ambayo inaweza kuwa na apps zake tofauti na space ya kwanza (yaani kama windows anavyoingia admin na guest).

Natangaza rasmi kuhamia XIAOMI, na hata PC nitanunua za hii kampuni.

Natafuta mtaalamu anaeweza kunisaidia kuitrack simu yangu niipate tena, nimetumiwa ujumbe na fb huyo mwizi anajaribu kulogin kwenye account yangu ya fb.

Mwenye ujuzi huo at any cost awasiliane nami dm nataka kuirudisha ile simu.
Mkuu kama ulkua umelog in na mi account ama mi cloud, bas bila shaka unaweza kuipata...
cha msingi kama una boksi la cmu uloibiwa bas wasilisha na IMEI namba polisi...pia hili litakua msaada mkubwa sana kwako, naambatanisha picha uone site gan unatakiwa kuingia kwa kutumia kifaa kingine chochote cha kielektroniki ueze ku access simu yako uloibiwa maana uyo mtu awez futa account yako mpka awe na pasword

bas kama ulikua ume log in angalia mwsho wa picha ambatanishi utaona kuna sehem pameandikwa "find my device" na kwa chini kuna URL unaeza access katika browser yoyote ueze kuilock cmu yako ama kuilocate mahali ilipo...tena uzur uyo mwizi anawasha na data maana umesema anajarbu ku log in kwa account yako ya facebook
a8a39397630b14561799870a2b2724a5.jpg
 
Mkuu kwa bajeti ya 350k-400k napata xiaomi gani ambayo iko poa kila idara kulingana na value for money kama Camera low light,Battery life,Size display 5.5 above,Processor isishuke 625 n.k niweke list yake nataka nibadili simu maana msauziy Chief-Mkwawa
 
mkuu camera ndio mtihani kwenye redmi, ila vyengine vyote utavipata kwenye redmi note 4.
 
mkuu camera ndio mtihani kwenye redmi, ila vyengine vyote utavipata kwenye redmi note 4.
au achukue mashine hii hapa

Global Version Xiaomi Redmi Note 5A Prime 3GB RAM 32GB ROM Cellphone Note5A Snapdragon Octa Core 5.5 Inch 16.0MP Front Camera
Global Version Xiaomi Redmi Note 5A Prime 3GB RAM 32GB ROM Cellphone Note5A Snapdragon Octa Core 5.5 Inch 16.0MP Front Camera-in Mobile Phones from Cellphones & Telecommunications on Aliexpress.com | Alibaba Group
(from AliExpress Android)
 
hizi zenye A kwa mbele ndio kabisa, ngumu kukuta camera nzuri, labda atafute flagship ya zamani kama mi 5, ina camera nzuri sana class ya s7
 
Global Version Xiaomi Redmi Note 4 Smartphones Note4 Snapdragon 625 Octa Core Cellphone 3GB RAM 32GB ROM 5.5" 13MP 4100mAh 4G B4
(from AliExpress Android)

Nimeicheck GSM ARENA kuna some review za watu wanalalamikia kuhusu contact zinakuwa shuffle na baadhi ya matatizo japo si makubwa ki vile ila hii ntaifanya option ya kwanza nasubiria zingine
 
hizi zenye A kwa mbele ndio kabisa, ngumu kukuta camera nzuri, labda atafute flagship ya zamani kama mi 5, ina camera nzuri sana class ya s7
tatizo bajeti yake...

ila redmi note 5A has 16 Mgpxl selfie cam

cheki redmi note 5a
 
hizi zenye A kwa mbele ndio kabisa, ngumu kukuta camera nzuri, labda atafute flagship ya zamani kama mi 5, ina camera nzuri sana class ya s7

Kama zipi chief? Na je zinapitwa na note 4 samsung? Au kwa samsung unaweza compare na ipi
 
tatizo bajeti yake...

ila redmi note 5A has 16 Mgpxl selfie cam
megapixel si quality ya picha, bali ni ukubwa wa picha.

ukiangalia hata features zake inacapture maximum 1080p tena kwa 30fps, flagship nyingi ni 4K sasa hivi na ikiwa ni 1080p basi ni kwa 60fps.

na hio soc yake 435 sio 14nm, haitakaa na charge sana.
 
Kama zipi chief? Na je zinapitwa na note 4 samsung? Au kwa samsung unaweza compare na ipi
yap zinapitwa na Note 4 samsung. simu za redmi ni lowend vitu vyake sio quality kushindana na flagship kama note 4.

ila note 4 mwenzake alikuwa ni mi3 kama sijakosea. hivyo kuanzia xiaomi mi4 kuendelea itakuwa ni nzuri kushinda note 4 ya samsung.

ila ndio mi bei zake nazo zimechangamka.
 
Nipe recomandation yako mkuu alafu ntachekecha
 
Nipe recomandation yako mkuu alafu ntachekecha

mkuu kwenye processor za android zimegawanyika sehemu mbili,

-processor yenye nguvu na inayokula chaji
-processor dhaifu inayokaa na chaji.

simu kubwa zinakuwa na zote mbili zenye nguvu na dhaifu wakati simu ndogo zinakuwa na dhaifu tu.

kwa wewe ili ufanye upgrade toka note 4 inabidi uende kwenye processor hizo kubwa zenye nguvu. na kwa xiaomi choice zako ni
-xiaomi mi5, mi4c, mi mix, mi6 etc zote hizo zina snapdragon 8 series kama 808, 820, 835 etc

yani hizo automatic uta upgrade speed ya internet, nguvu ya simu, camera, display etc.

ushauri wangu kama uta afford kuanzia mi5 sawa, kama huwezi ku afford ni bora hata ueke custom rom uendelee kuenjoy note 4 yako.
 
Back
Top Bottom