Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Vipi uki compare na bei zake kama ulizozifananisha Mfano Realme X ma note 7 ni kosa kabisa jaribu ifananisha Realme x na k20 pro,upatikanaji wake ni friendly? naamini pia hata Mi ana simu yenye amoled na fingerprint ya kioo kwa bei reasonable pia kuliko oppo bado Xiaomi ni mkombozi kibongobongo Mkuu.
Hiyo realme X ni kama tsh 550k na realme 3 pro ni kama 490k. Wakati hiyo k20 pro haipungui tsh 800k maana ile k20/mi 9T ni kama 650k. Hiyo realme X ina compete na note 7 pro wakati hiyo realme 3 pro ina compete na note 7.
 
Je zinapatikana kwa urahisi kama unaozungumzia mkuu?
 
Yes kwenye AliExpress zipo

TZS 565,519.36 | Realme X Mobile Phone 6.35 inch AMOLED Screen 4GB RAM 64GB ROM Snapdragon 710 Octa Core 48.0MP 3765mAh Super VOOC Smartphone

TZS 457,468.58 | Original Realme X Lite Mobile Phone 6.3 inch 4GB RAM 64GB ROM Snapdragon 710 Octa Core Android 9.0 Dual Rear Camera Smartphone

TZS 459,767.54 | Global Version OPPO realme 3 pro 6.3 inch 4/6GB 64/128GB Smart Moblie Phone 4045mAh 16+5MP Dual Camera VOOC Fast Charge 3.0
 
Ila kwa camera note 7 pro yuko juu kwa realme x kwa baadhi ya feature japo nimeona wanatumia sensor moja na vitu kama hizo.
 
Camera nadhani image processing engine ndio huwa inaleta difference, ila ukitaka upate good quality photos kwenye haya masimu dawa ni kutumia GCAM naona huwa inaleta difference sana. Simu za xiaomi naonaga zinafanya over exposure mno na details huwa zinakuwa chache ukitumia default camera ila ukiweka GCam huwa ina balance hivi vyote perfectly.
 
Ebu icheki hiyo z6 lite
Aliexpress bei yake pamoja na shipping ni 366,000/=
Ram 4gb Rom 64gb screen 6.2" snapdragon 710
Kwa spec zake iko vizuri halafu bei iko chini. Kitu ambacho note 7 itaizidi hiyo ni main camera ya nyuma. Ila kwingine kote hiyo ni bomba. Hapo nakushauri usivunge.
 
Note 7 ya 64gb unapata kwa zaidi ya laki 4, kwa camera sidhani kama kuna tofauti kubwa sana na triple camera ya z6 lite ie 16,8 na 5mp
 
Naona lenovo wameweka wide angle camera hiyo ni addition nzuri pia Naona na bezel lenovo wamepunguza sana. Hamna device kwa bei hiyo either from xiaomi or realme ambayo ita match hiyo lenovo.
 
Back
Top Bottom