Ok mkuu, kuna seller mjinga sana, niliagiza mzigo wa kwanza akatumia siku 9 ku ship, alipo ship siku hiyohiyo nikaongeza kama piece 6 maana nilikuwa na uhtaji sana wa hizo vitu.
Mjinga alichofanya nikuniwekea tracking namba ili nisi open dispute lakin mzigo hajaship. Leo siku ya 21, tracking inasoma wait to pick up. Uki track kwenye webs mbalimbali inaandika order has been created (aliexpress platform).
Hapa nna hasira nae mzigo ulitakiwa kabla ya tarehe 25/10/19. Mzigo wa kwanza umefika tayari.
Yani wachina ni wapumbavu sana saa zingine. Hawana tofauti na ngozi nyeusi aisee