Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

IMG_9593.JPG
IMG_9592.JPG

wakuu hizi bei ni simu og au fake..??
 
Ni model gani hizo
Hauamini kutokana na bei au aina ya simu
Nnachoamini Xiamon za AliExpress sio feki
Pia pendelea kusoma reviews za walionunua, lazima utajua mapungufu na ubora wa simu/seller

Cheki reviews hapohapo Kwenye hilo tangazo
Kama huna uzoefu Pendelea kununua simu kwa seller mwenye sold nyingi na reviews za kueleweka
 
1. Wewe umepata utata wapi mkuu? Hiyo bei ya shipping au au bei hasa ya hiyo simu?

2. Hizo ni global rom, fanya kama unatafuta global version linganisha bei zake.

kwahyo embu nieleweshe ni ipi ambayo naweza nikanunua na nikaitumia kwa hapa Tz
 
Ni model gani hizo
Hauamini kutokana na bei au aina ya simu
Nnachoamini Xiamon za AliExpress sio feki
Pia pendelea kusoma reviews za walionunua, lazima utajua mapungufu na ubora wa simu/seller

Cheki reviews hapohapo Kwenye hilo tangazo
Kama huna uzoefu Pendelea kununua simu kwa seller mwenye sold nyingi na reviews za kueleweka

sawa mkuu
 
Essager nilichuku ile yenye port 3 moja ya fast charging ile port haikumaliza hata week ikafa haifanyi kazi kwasasa.
Hyo ni kasoro tu,hata kwa bidhaaa nying lipo.mm ninayo km hyo natumia mwez 6 ss haijanisumbua na huwa natumia 3 port at same time kuchajia simu.
 
Wiki 2 zilizopita Nilimtumia msg FANTACY kuwa nimepokea simu bila PROTECTOR, wakati nililipia na protector. Baada ya kuona hanipi majibu Nikafungua dispute... Leo kajibu msg yangu

Kwa majibu haya nifunge de
Dispute maana sijui hata hizo coupon zitanisaidia nini
--------------

Dear, sorry to hear the problem you met, we would like offer 5 dollars coupon to you as compensation,please close the dispute,do you agree?
Alice
Fantacy Customer Support
 
Dola 5 zitatumika utakaponunua bidhaa nyingine
 
Wiki 2 zilizopita Nilimtumia msg FANTACY kuwa nimepokea simu bila PROTECTOR, wakati nililipia na protector. Baada ya kuona hanipi majibu Nikafungua dispute... Leo kajibu msg yangu

Kwa majibu haya nifunge de
Dispute maana sijui hata hizo coupon zitanisaidia nini
--------------

Dear, sorry to hear the problem you met, we would like offer 5 dollars coupon to you as compensation,please close the dispute,do you agree?
Alice
Fantacy Customer Support
Hakuna kucancel dispute we Komaa nao upate refund then unambandika nyota 1 akomage kuleta uhuni kwenye order za watu.
Hiyo coupon anayotaka kukuzuga nayo huenda usiitumie kama Huna mpango wa kuagiza tena hivi karibuni.
 
Back
Top Bottom