Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Bose ninaidownload hiyo app but font ya rosemary haipo nakuta rosewood na ingine hebu nielekeze ingia izungushie alama itupie hapa nimeipenda kweli kweli
Mkuu fuata hizi hatua
1. Angalia picha hizi vizuri. Gusa kwenye red box
IMG_20191204_190808.jpg

2. Gusa kwenye red box
IMG_20191204_190643.jpg

3. Then nenda hadi namba 63
IMG_20191204_190735.jpg

Changamoto ninayoipata mimi, baada ya ku Apply. Endapo umeset wallpapers baada ya muda themes inaji restart kitendo ambacho hufanya wallpapers ulizo set zifutike kwenye screen.
 
Kimsingi hizi parcel ndogo huwa hutakiwi kulipia. Ishu nikwamba hawa jamaa wameweka kama vocha na ndio maana mzigo ukifika utatafutwa sana kwa sms nyingi. Ni hivyo tu, sisi wa kitambo tukiambiwa 2300 huwa tunatoa kiroho safi tukijuwa kinachoendelea
Sijajua ni kwanini hii mkuu..! Me nlilipia 2.3k hapo hapo Posta, Nyamagana...
 
Niliagiza Xiaomi note 8, sasa leo nimepokea sms kutoka posta inayoanza na RDP, kuna mdau alisema kama sms itaanza na RDP basi utatakiwa kulipa kodi, sasa wakuu naomba kwa yoyote anayejua makadirio ya kodi ya simu aniambie tafadhari.
Ukiona RDP jiandae kukutana na rungu la TRA!
Makato ni 21% ya gharama ya mzigo
 
Posta wapi huko mkuu??
Niliagiza Xiaomi note 8, sasa leo nimepokea sms kutoka posta inayoanza na RDP, kuna mdau alisema kama sms itaanza na RDP basi utatakiwa kulipa kodi, sasa wakuu naomba kwa yoyote anayejua makadirio ya kodi ya simu aniambie tafadhari.
 
Tracking number yako inasoma "held by customs?"
Niliagiza Xiaomi note 8, sasa leo nimepokea sms kutoka posta inayoanza na RDP, kuna mdau alisema kama sms itaanza na RDP basi utatakiwa kulipa kodi, sasa wakuu naomba kwa yoyote anayejua makadirio ya kodi ya simu aniambie tafadhari.
 
We nenda tu boss... kuna mtu redmi note 8 hiyo kapokea kwa kulipa 2330 tu

Back
Top Bottom