Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Kwa wale wanaotaka kuagiza mizigo labda mtumie express shipping wenye ndege zao mfano DHL UPS ila mkitumia posta naona kama kunashida katika kupata mizigo... Nina mizigo Mitano miwil nmenunua ali express toka tarehe 13 march update ya mwisho ni tareh 20 mwezi wa 3....na mzigo miwil nlinunua ebay lakin seller yupo Estonia nilinunua tarehe 3 mwez wa 3 na update ya mwisho ni tarehe 23 mwezi wa 3 hadi leo hakuna pia kuna mzigo mwingine nnunua ebay seller yupo US na aliship na USPS priority mail update ya mwisho ni tarehe 18 mwezi wa 3.....yaaan nawashaur msiagize mizigo sabab post zinatumia fright za abilia ambazo kwa sasa ndege nying zimesitisha huduma.
...

Sent using Jamii Forums mobile app
Good!
 
Ni kweli, nami nilinunua aliexpress tarehe 13/03 update ya mwisho ni tarehe 17 mpk lep hakuna Maendeleo wala tumaini lakupata mzigo
Kwa wale wanaotaka kuagiza mizigo labda mtumie express shipping wenye ndege zao mfano DHL UPS ila mkitumia posta naona kama kunashida katika kupata mizigo... Nina mizigo Mitano miwil nmenunua ali express toka tarehe 13 march update ya mwisho ni tareh 20 mwezi wa 3....na mzigo miwil nlinunua ebay lakin seller yupo Estonia nilinunua tarehe 3 mwez wa 3 na update ya mwisho ni tarehe 23 mwezi wa 3 hadi leo hakuna pia kuna mzigo mwingine nnunua ebay seller yupo US na aliship na USPS priority mail update ya mwisho ni tarehe 18 mwezi wa 3.....yaaan nawashaur msiagize mizigo sabab post zinatumia fright za abilia ambazo kwa sasa ndege nying zimesitisha huduma.
...

Sent using Jamii Forums mobile app

Dumelang
 
Xiaomi keeps moving!
20200412_133702.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeenda vodashop wameniambia simu yangu hai support 4g
Mimi ninayo na ina 4g tigo na Vodacom, Halotel kila nikienda dukan kwao ku swap number yangu (line iwe ya 4g) wananiambia sim hai support 4g, wakati nimejaribu laini ya mtu ya Halotel ina kamata 4g fresh. Nabaki kushangaa tu.

So mkuu hiyo 4g ya Vodacom ingia katika setting weka vizuri setting zako pale hakikisha laini pia iwe ya 4g.
 
Hata mimi nilienda halotel wakaniambia simu yangu hai sapoti 4g
Hizi ni kuwa makini unaponunua
 
Sometimes customer care wetu nao chenga tu. Haiwezekani simu nikiweka lain ya 4g ya mtu mwingine inasoma fresh. Ila nikitaka lain yangu wa iswap nipate yenye 4g, eti simu hai support.
 
Fanyeni kitu kimoja, tafuta device nyingine yenye kussuport band za halotel weka hiyo line lao kwa muda wa siku tatu halafu nenda shop yao
Utaswap vizuri tu. Mimi walinisumbua hivihivi

Sent from my SM-G532F using Tapatalk
 
Oooh that's good idea bro.
 
je kuna aliyejiripua siku za karibuni akapata mzigo?
Nataka nivute RDN 8 au 9 sema sijajua zama hizi za COVID-19 kàma parcel zinafika au ĺaa
 
T500 Smart Watch[emoji403]

[emoji91]Bei = elfu 95 tu fixed [emoji91]
[emoji338]0713358355

[emoji828]️inatumika kwa Iphones &Android phones [emoji390] hata REDMI PHONES
def445e0-f4d9-42f7-a475-051899370bc0.jpg
dffd97f0-12b1-41e3-a1bd-4f34c242dcf0.jpg
IMG_2431.JPG

[emoji828]️can make & receive Calls [emoji338]
[emoji828]️Water proof [emoji97]
[emoji828]️44mm with series 5 interface
[emoji828]️bluetooth connectivity
[emoji828]️5-7 days battery [emoji367]
[emoji828]️ina apple interface na Grid theme
[emoji828]️12 watch faces
[emoji828]️unaweza soma mesej
[emoji828]️all social networks notifications ,whatsapp etc
[emoji828]️ina phonebook unaweza call directly kwa kutumia saa
[emoji828]️call records
[emoji828]️Music controller [emoji344][emoji344][emoji344]
[emoji828]️voice recorder
[emoji828]️inatumia Hiwatch app
[emoji828]️fitness/sports tracker ,swimming ,football,skipping ,basketball etc
[emoji828]️calculator
[emoji828]️oxygen level check [emoji91]
[emoji828]️heart beat rate
[emoji828]️calories burn in real time
tupo dar es salaam
insta page : Baraka_gadgets

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kwa wale wanaotaka kuagiza mizigo labda mtumie express shipping wenye ndege zao mfano DHL UPS ila mkitumia posta naona kama kunashida katika kupata mizigo... Nina mizigo Mitano miwil nmenunua ali express toka tarehe 13 march update ya mwisho ni tareh 20 mwezi wa 3....na mzigo miwil nlinunua ebay lakin seller yupo Estonia nilinunua tarehe 3 mwez wa 3 na update ya mwisho ni tarehe 23 mwezi wa 3 hadi leo hakuna pia kuna mzigo mwingine nnunua ebay seller yupo US na aliship na USPS priority mail update ya mwisho ni tarehe 18 mwezi wa 3.....yaaan nawashaur msiagize mizigo sabab post zinatumia fright za abilia ambazo kwa sasa ndege nying zimesitisha huduma.
...

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kuwapa mrejesho.... Mizigo miwili kutoka aliexpress nmeipata japo kuwa imechukua siku 36-40...imefikq salama.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
je kuna aliyejiripua siku za karibuni akapata mzigo?
Nataka nivute RDN 8 au 9 sema sijajua zama hizi za COVID-19 kàma parcel zinafika au ĺaa
Parcel zinafika sema zinachelewa. Mimi niliagiza mwezi wa 3 tarehe 15/18,leo nimeanza kupata vifurushi vyangu. Naona mpaka wiki ijayo karibia vyote nategemea nitavipata. Uwe na subira tu mkuu[emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom