Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Hivi wadau hapa mjini simu za Xiaomi zapatikana wapi? nilionaga bango lao pale M/CITY kuwa sasa ziko mjini lakini kila nikiulizia wengine hawazijui wanaishia kunionyesha TECNO zilizochangamka (infinix)
 
Wakuu hii shida nanyie mnaipata? Since nimenunua simu kila nkiiwasha inafail kuactivate simcard mpaka sielewi kule kwenye mi protection inakuaje

Sent from my Redmi Note 8 Pro using JamiiForums mobile app
View attachment 1567989
Lazima uwe na salio la kawaida sio salio la kifurushi ndio utaweza ku activate. Weka salio la kutosha Kisha jaribu ku activate simcard
 
Zipo kibao kariakoo, nenda china tower
Hivi wadau hapa mjini simu za Xiaomi zapatikana wapi? nilionaga bango lao pale M/CITY kuwa sasa ziko mjini lakini kila nikiulizia wengine hawazijui wanaishia kunionyesha TECNO zilizochangamka (infinix)
 
Bei za free zone karibu tuyajenge

Screenshot_2020-09-10-14-29-23-031_cn.wps.moffice_eng.jpg
 
Mi na Budget kama ya laki 350k hivi je ntapata device hii Aina gani

Na itakuwa naubora ganii na uwezo gani kuzidi hii sumsung yangu ya s6 wakubwaa.

Nawasilishaa
 
Wakuu hii Xiaomi redmi note 8 pro yangu sasa hivi inaleta shida. Ni hivi, nikiwa na make a call mtu akipokea tu automatically inajiturn off screen so napata shida yaan hadi maongezi yaishe. Sasa kama nataka kuplace another call nifanye conference call inakua changamoto. Naomba msaada wa kudisable hii feature ili hata nikiwa naongea na simu screen ibaki on. Natanguliza shukrani
 
Hebu ikiwa inaita weka loudspeaker kabla mtu hajapokea.. Jaribu hivyo
Tatizo ukipokea tu inajiturn off au ukipiga. Sometimes inakibali sometimes inagoma. Nlijaribu kuchek solutions Ila wanaleta mambo ya proximity sensor wakati hii model haina
 
Back
Top Bottom