PreGE2025 Walemavu wamchangia fedha Rais Samia na kuahidi kumpa Kura zote Oktoba

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Wakuu!

Drama za Uchaguzi zinaendelea...Series hii ni ya Watu wenye Ulemavu

Katila Hafla ya uzinduzi wa soko la Nyama Choma la Kumbilamoto wananchi wenye ulemavu wamemchangia Fedha Rais Samia Suluhu Hassan na kumuahidi kumpa kura zote katika uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025.

Your browser is not able to display this video.
 
Safi sana Samia m
Safi sana
 
Sijui mpaka sasa zimefika bei gani😂😂😂
 
Watakuwa ni walemavu wa akili pia
 
Kumbe wanahela hadi za kumchangia mwenye nacho. Tusije tukawaona tena njiani wanaomba
 
Kuna kundi la watu wanafanya mambo kwa lengo la kumrahisha Fulani lkn ktk uhalisia wanamchafua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…