PreGE2025 Walemavu wamchangia fedha Rais Samia na kuahidi kumpa Kura zote Oktoba

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜

Walemavu???

Acheni basi hizi siasa za kudai laana kwa nguvu jamani!

Na ndiyo maana moja haikai, mbili pia haikai, kwa sababu ya mambo haya haya!

Unapewa msaada na mlemavu na wewe unapokea mtu mzima na nguvu zako?
Hizo pesa hawajatoa wao, wamepewa ili watoe kwa waliowapa, chenji wameachiwa iwasaidie.
 
Mungu awalaani kabisa hao! Na ikiwezekana nao, hata kama ni watoto wao waonje kidogo maumivu walionayo hao wenzetu
 
Wamekosea kulitumia hilo kundi, hata baadhi ya wana CCM wenzetu hawajafurahishwa hata kidogo. Miaka yote tunawatelekeza, ila mwaka huu ndio tunaona umuhimu wao.
 
Wakuu!

Drama za Uchaguzi zinaendelea...Series hii ni ya Watu wenye Ulemavu

Katila Hafla ya uzinduzi wa soko la Nyama Choma la Kumbilamoto wananchi wenye ulemavu wamemchangia Fedha Rais Samia Suluhu Hassan na kumuahidi kumpa kura zote katika uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025.

๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿ˜‚
Walemavu kama walemavu๐Ÿคฃ
 
Wakuu!

Drama za Uchaguzi zinaendelea...Series hii ni ya Watu wenye Ulemavu

Katila Hafla ya uzinduzi wa soko la Nyama Choma la Kumbilamoto wananchi wenye ulemavu wamemchangia Fedha Rais Samia Suluhu Hassan na kumuahidi kumpa kura zote katika uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025.

Wastara Sajuki anaumwa. Anahitaji Msaada.
 
Atleast tumepata hoja ya kuwatoa walemavu wakija kuomba ela
 
Back
Top Bottom