Hizo pesa hawajatoa wao, wamepewa ili watoe kwa waliowapa, chenji wameachiwa iwasaidie.π€£π€£πππππππ
Walemavu???
Acheni basi hizi siasa za kudai laana kwa nguvu jamani!
Na ndiyo maana moja haikai, mbili pia haikai, kwa sababu ya mambo haya haya!
Unapewa msaada na mlemavu na wewe unapokea mtu mzima na nguvu zako?
Wakuu!
Drama za Uchaguzi zinaendelea...Series hii ni ya Watu wenye Ulemavu
Katila Hafla ya uzinduzi wa soko la Nyama Choma la Kumbilamoto wananchi wenye ulemavu wamemchangia Fedha Rais Samia Suluhu Hassan na kumuahidi kumpa kura zote katika uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025.
Mungu awalaani kabisa hao! Na ikiwezekana nao, hata kama ni watoto wao waonje kidogo maumivu walionayo hao wenzetuHizo pesa hawajatoa wao, wamepewa ili watoe kwa waliowapa, chenji wameachiwa iwasaidie.
Wamekosea kulitumia hilo kundi, hata baadhi ya wana CCM wenzetu hawajafurahishwa hata kidogo. Miaka yote tunawatelekeza, ila mwaka huu ndio tunaona umuhimu wao.Mungu awalaani kabisa hao! Na ikiwezekana nao, hata kama ni watoto wao waonje kidogo maumivu walionayo hao wenzetu
π€£π€£πWakuu!
Drama za Uchaguzi zinaendelea...Series hii ni ya Watu wenye Ulemavu
Katila Hafla ya uzinduzi wa soko la Nyama Choma la Kumbilamoto wananchi wenye ulemavu wamemchangia Fedha Rais Samia Suluhu Hassan na kumuahidi kumpa kura zote katika uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025.
Wastara Sajuki anaumwa. Anahitaji Msaada.Wakuu!