Walemavu wameshinikiza AG Feleshi ajiuzulu kumpa nafasi Rais ya kuteua AG mwingine
---
Walemavu washinikiza Attorney General ajiuzuru katika kufafanua hoja hiyo wamesema
Kimsingi nikiliangalia hili suala la Bandari lina udhaifu kwenye utendaji yaani nasema Watendaji wenzangu, makatibu huko, Ma Attorney General wana matatizo.
Sasa Jukwaa hili linapendekeza kwa Mama kwa sababu muhusika wa mikataba ni Attorney General wa nchi ambaye ni Mwanasheria Mkuu wa Serikali, kwa vile ameshindwa kujitetea kwenye suala hili la mkataba.
Mkataba unaonekana kweli ni mbovu na Mama unampa shida mkataba huu. Sisi kama watu wenye ulemavu Attorney General achukuliwe hatua. Kwa sababu kukaa kimya kwake ni kuruhusu rais kuendelea kuchafuliwa.
Tunashauri Attorney General ajiuzulu mwenyewe au aachishwe kazi apewe mtu anayeweza. Tuna rekodi mbovu za Attorney General hatutaki kuzisema hadharani, lakini sisi tunamwambia Mama Attorney General ameshindwa kazi yake tumpe mtu mwingine ile kazi ili atutengenezee mikataba iliyo mizuri.