Walemavu washikiniza Mwanasheria Mkuu wa Serikali ajiuzulu mkataba wa bandari

Kuna Kila dalili ya UVCCM kuibuka na tamko la kulaumu "washauri" kuwa wamempotosha "Mama" hahahaha mark my word
 
Ofisi ya Rais nchi hii inaubabe mwingi ofisi ya mwanasheria haihusiki na hicho kinyesi Cha bandari, yawezekana hata Mkurugenzi wa TIS alopita ndugu Diwani Athumani bila shaka alikataa hayo mavi ya wazanzibar ndiomana wakamtoa

Aisee!

Kisha huyo alowekwa Kwa sasa ni nani ?

Anaitwaje?

Ametokea wapi?

Maana kama Diwani tunajua alitokea jeshi la polisi kabla ya kuwa DG.
 
Walemavu wameshinikiza AG Feleshi ajiuzulu kumpa nafasi Rais ya kuteua AG mwingine
View attachment 2697980

---

Walemavu washinikiza Atony General wa Bandari ajiuzuru katika kufafanua hoja hiyo wamesema

Kimsingi nikiliangalia hili suala la Bandari lina udhaifu kwenye utendaji yaani nasema Watendaji wenzangu, makatibu huko, Ma Atony General wana matatizo.

Sasa Jukwaa hili linapendekeza kwa Mama kwa sababu muhusika wa mikataba ni Atony General wa nchi ambaye ni Mwanasheria Mkuu wa Serikali, kwa vile ameshindwa kujitetea kwenye suala hili la mkataba.

Mkataba unaonekana kweli ni mbovu na Mama unampa shida mkataba huu. Sisi kama watu wenye ulemavu Atony General achukuliwe hatua. Kwa sababu kukaa kimya kwake ni kuruhusu rais kuendelea kuchafuliwa.

Tunashauri Atony General ajiuzulu mwenyewe au aachishwe kazi apewe mtu anayeweza. Tuna rekodi mbovu za Atony General hatutaki kuzisema hadharani, lakini sisi tunamwambia Mama Atony General ameshindwa kazi yake tumpe mtu mwingine ile kazi ili atutengenezee mikataba iliyo mizuri.

Move ya kumtoa kafara imeiva, mipango hii madhubuti...
 
Kuna Kila dalili ya UVCCM kuibuka na tamko la kulaumu "washauri" kuwa wamempotosha "Mama" hahahaha mark my word

Ha ha ha! Hapa anatolewa mtu kafara hakuna masaa 24
 
Walemavu wameshinikiza AG Feleshi ajiuzulu kumpa nafasi Rais ya kuteua AG mwingine
View attachment 2697980

---

Walemavu washinikiza Atony General wa Bandari ajiuzuru katika kufafanua hoja hiyo wamesema

Kimsingi nikiliangalia hili suala la Bandari lina udhaifu kwenye utendaji yaani nasema Watendaji wenzangu, makatibu huko, Ma Atony General wana matatizo.

Sasa Jukwaa hili linapendekeza kwa Mama kwa sababu muhusika wa mikataba ni Atony General wa nchi ambaye ni Mwanasheria Mkuu wa Serikali, kwa vile ameshindwa kujitetea kwenye suala hili la mkataba.

Mkataba unaonekana kweli ni mbovu na Mama unampa shida mkataba huu. Sisi kama watu wenye ulemavu Atony General achukuliwe hatua. Kwa sababu kukaa kimya kwake ni kuruhusu rais kuendelea kuchafuliwa.

Tunashauri Atony General ajiuzulu mwenyewe au aachishwe kazi apewe mtu anayeweza. Tuna rekodi mbovu za Atony General hatutaki kuzisema hadharani, lakini sisi tunamwambia Mama Atony General ameshindwa kazi yake tumpe mtu mwingine ile kazi ili atutengenezee mikataba iliyo mizuri.
Mbona inasemekana mtoto wa huyo mama yenu ndiye kinara wa haya yote?
 
Hao nao watakuwa walemavu mpaka wa akili, wachunguzwe vizuri.

Samia ndie mama wa hili tatizo, asifichwe wala kulindwa kwa njia yoyote.
Hapo acha Samia abaki tukamkatae kwenye uchaguzi au Bunge likapoge kura yakutokuwa na iman nae ila kimsingi wote walitakiwa kupitia mkataba na kumshauri Rais watoke watupishe na Waziri mkuu wake wote watoke.
 
Pongezi kubwa sana kwenu kwa kuona haya mapungufu kwenye mkataba, sio kama wale vijana wa ccm wanaotumia matumbo na makalio kufikiri, ni kweli kabisa huyu mwanashelia mkuu kilaza lazima aondoke baada ya hapo waziri mbalawa, spika wa bunge na wabunge wote waondoke akiwepo waziri mkuu na mwisho kabisa na mama aachie ngazi
 
Nimetoka kwa mshua jioni hii na uzee wake wote nimekuta anaangalia citizen tv ya Kenya

Nikamsikia analalamika kuhusu bandari kuuzwa
Inasikitisha sana
 
Back
Top Bottom