Walemnaoguswa na maazi ya rais Trump njoo hapa useme wewe umeathirika namna gani?

KakaKiiza

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2010
Posts
11,794
Reaction score
9,075
Inajulikana Rais Trump katika kipindi kisichozidi siku 100 maamzi yake yameathiri watu wengi na Taasisi nyingi duniani kote,najua Tanzania siyo kisiwa lazima kuna watu wameathirika na maamzi ya hovyo kwakipindi hiki kifupi!
Karibu!
 
Mimi nimefurahi sababu ccm ilitegemea kujengewa vyoo tanzania na USA
 
Jamaa kasepa kundini na mkopo nilimdhamini nawaza atarudisha pesa za watu niwe salama mm?ila Tramp kavuruga maisha ya watu kataa
 
Inajulikana Rais Trump katika kipindi kisichozidi siku 100 maamzi yake yameathiri watu wengi na Taasisi nyingi duniani kote,najua Tanzania siyo kisiwa lazima kuna watu wameathirika na maamzi ya hovyo kwakipindi hiki kifupi!
Karibu!
Binafsi ni nimepewa likizo ya siku 90 nipo mradi wa ICAP sengerema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…