Josaje Mtui
JF-Expert Member
- Oct 1, 2016
- 2,461
- 2,158
Aisee we mrevu suguTukumaliza kuvuka, kisha tuna jilamba midomo na kisha tunatema mate kushoto alafu tunayafukia hayo mate upande wa kilia, kabla ya kufumba macho na kikata mafundo kadhaa...... ndipo tunaendelea na safari
Natamani hii bahati ingeniangukia mimi...Jasiri haachi asili nitakuja Ushirombo unipe mbinu zaidi za kuvuka barabara kubwa kama hizo za ubungo mataa maana ninampango wa kulitembelea jiji kongwe siku si nyingi
Anhaaa...Mnaponifurahisha ni uwezo wenu wa kupanda ngazi kama mnaish gorofani
[emoji23][emoji23][emoji23] Bahati gani hiyo, ya kuona mlevi akivuka barabara?Natamani hii bahati ingeniangukia mimi...
Mi nna bahati mbaya sijawahi kuona...
Bahati ya kukupa mbinu ya kuvuka barabara....[emoji23][emoji23][emoji23] Bahati gani hiyo, ya kuona mlevi akivuka barabara?
Uko wapi nije unipe hizo mbinu?Bahati ya kukupa mbinu ya kuvuka barabara....
Huo muda wa kukupa mbinu lazima utakuwa amazing...
Hebu fanya haraka njoo Bunju hapa unisaidie kupalilia matikiti na matango.Uko wapi nije unipe hizo mbinu?
Kwanini Pastor?Aisee we mrevu sugu
Ninaruhusiwa kuwepo?Bahati ya kukupa mbinu ya kuvuka barabara....
Huo muda wa kukupa mbinu lazima utakuwa amazing...
Pombe ikiwa nyingi mwilini ubongo unapata habari na unapelekea mlevi kulala ili pombe isiingie tena mwilini. Hii ni body’s own defence mechanism.Afu mlevi hata siku moja hakubali kama amelewa!ukimuagizia anakunywa tuu
Wewe huhitaji ruhusa. Uwepo wako ni lazimaNinaruhusiwa kuwepo?
Kuja Bunju sio kazi, tabu ni hiyo kazi ya kupalilia bustani yako!😕Hebu fanya haraka njoo Bunju hapa unisaidie kupalilia matikiti na matango.