Josaje Mtui
JF-Expert Member
- Oct 1, 2016
- 2,461
- 2,158
Na ukimwambia mlevi kalewa inakua ni ugomvi hapendi kabisa kuambiwa kalewa.ww mwambie naona upo vizuri,umepiga vyombo,upo juu,umepga maji,unabembea n.k[emoji3][emoji3]hapo mtaelewana na kwenda sawa pamoja