Walevi tupo makini kinoma!!

Walevi tupo makini kinoma!!

IMG_1420.JPG

Na hapa ni walevi wakiwa kwenye kikao.
 
Jasiri haachi asili nitakuja Ushirombo unipe mbinu zaidi za kuvuka barabara kubwa kama hizo za ubungo mataa maana ninampango wa kulitembelea jiji kongwe siku si nyingi
Natamani hii bahati ingeniangukia mimi...

Mi nna bahati mbaya sijawahi kuona...
 
Natamani hii bahati ingeniangukia mimi...

Mi nna bahati mbaya sijawahi kuona...
[emoji23][emoji23][emoji23] Bahati gani hiyo, ya kuona mlevi akivuka barabara?
 
Mkuu, wewe tayari umesha haribu sifa yetu walevi.....
Mlevi haishi nyumbani kwao aiseeee.... , unakwama wapi.....[emoji53] [emoji53] [emoji45] [emoji45]
Kuna sehem nimesema naishi hom hd sasahv au umeimbiwa magimbi
 
Afu mlevi hata siku moja hakubali kama amelewa!ukimuagizia anakunywa tuu
Pombe ikiwa nyingi mwilini ubongo unapata habari na unapelekea mlevi kulala ili pombe isiingie tena mwilini. Hii ni body’s own defence mechanism.
 
Walevi huwa tunapendana sana tukiwa bar[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Back
Top Bottom