Wali kupika kwa gesi, unaweza kukausha?

Wali kupika kwa gesi, unaweza kukausha?

Nikukumbushe tu. Utatumia gharama kubwa ili ule chakula kisicho salama kwa afia yako. . WANGA ulio kwenye wali ni sumu. Badili muelekeo, achana na hilo jiko ilo wali usikunogee sana hamia kwenye vyakula mizizi na dona. Utanishukuru uzeeni.
Pressure cooker unaweza pika mpaka ugali, mihogo, dagaa nk nk
 
Leo mchana nimekula ugali wa dona uliopikwa kwenye pressure cooker.

Kuna option una activate unakua na uwezo wa kupika hata ugali au kukaanga nyanya.
option gani hiyo Mkuu ya kupika ugali kwa pressure cooker? please assist.
 
Wana jamii naomba maujuzi ya kupika wali kwa gesi hadi kuukausha kwake.
Tena unakauka na kuchambuka kuliko wa mkaa. Maji yakishapotea we punguza moto ubaki kidogo kiasi kwamba ukiupuliza tu unazima. Halafu uache hata nusu saa. Ila hakikishe uwe umeukaanga kabla ya kuweka maji.
Wali utachambuka na kukauka vzuri sana
 
Pressure cooker inapika kuanzia birian, wali, ugali mpaka makande, supu na mboga za majani! Rice cooker sidhan kama inaweza fanya hivyo

Kama ni bachela ajikusanye anunue pressure cooker walau ya Von.
Tutoane ushamba hapa inapika na ugali 😳😳🙄🙄, vipi pressure cooker ya kampuni za Kenwood na dessini si nzuri? Je hiyo von bei yake ngapi?
 
Leo mchana nimekula ugali wa dona uliopikwa kwenye pressure cooker.

Kuna option una activate unakua na uwezo wa kupika hata ugali au kukaanga nyanya.
Tutoane ushamba hapo mtaalamu wangu, option gani hiyo?
 
Back
Top Bottom