Wali kupika kwa gesi, unaweza kukausha?

Wali kupika kwa gesi, unaweza kukausha?

Una ugomvi nama Lishe?!
Pesa ya kupata pressure cooker ipo kabisa mkuu, sema sikuwa na ufahamu wa hv vitu.. nitajaribu kuvifuatilia madukani ikiwezekana wiki hii nivute mzigo huo(Pressure cooker) kazi ya kupika hii kwa kweli naona tabu sana na inanipotezea time yangu
 
Hakuna haja ya kuweka mfuniko chini, badala yake vikichemka kabla ya kukauka apunguze moto, na mfuniko uwe tait, punguza tena moto ili uive taratibu kwa robo saa mpaka dak 20, Funua onja, kama kuna kiini subiri dak 10 mbele lazima utakuwa poa

Nilimuelekeza kienyeji tunafanyaje mkuu
 
Wakuu nipeni ujuzi hapa,

Kila siku nikipika wali kwa kutumia jiko langu la Gas naona unanisumbua sana, kwanza hauivi pia unaungua sana chini ya sufuria, nimewaza hadi kununua Rice cooker Wenda itanisaidia kuivisha vizuri.

Kwa sasa sijaoa, mchumba wangu ni Mtumishi wa Umma anakujaga weekend tu na anapenda kupika vitu vya kukaangakaanga tu.

Kwamba wali hauivi na unaungua chini, sawa, halafu mchumba wako kuwa mtumishi wa umma na kwamba haujaoa. Hapo nahitaji kujua vinahusiano gani?
Yaani wali usioiva na Mchumba ambaye ni mtumishi wa umma, na wewe kuwa bado haujaoa.
 
Rice with Timber
 
Wote ni wahusika,, ikiwezekana hata ww nikutag kwenye huu uzi ili Uridhike
Kwamba wali hauivi na unaungua chini, sawa, halafu mchumba wako kuwa mtumishi wa umma na kwamba haujaoa. Hapo nahitaji kujua vinahusiano gani?
Yaani wali usioiva na Mchumba ambaye ni mtumishi wa umma, na wewe kuwa bado haujaoa.
 
Pesa ya kupata pressure cooker ipo kabisa mkuu, sema sikuwa na ufahamu wa hv vitu.. nitajaribu kuvifuatilia madukani ikiwezekana wiki hii nivute mzigo huo(Pressure cooker) kazi ya kupika hii kwa kweli naona tabu sana na inanipotezea time yangu
Mimi natumia pressure cooker ya Von, nikiweka wali unaiva baada ya robo saa.

Cha msingi hakikisha unanunua kwenye duka la uhakika..ungekua arusha ningekwambia ukanunue kwa benson!

Narudia tena nunua pressure cooker walau ya Von (kama una kauwezo kidogo nunua Nutri cook) hutajuta!
 
Nikukumbushe tu. Utatumia gharama kubwa ili ule chakula kisicho salama kwa afia yako. . WANGA ulio kwenye wali ni sumu. Badili muelekeo, achana na hilo jiko ilo wali usikunogee sana hamia kwenye vyakula mizizi na dona. Utanishukuru uzeeni.
 
Sawa

Mkuu nimekupata
 
Kama kwenye wali Kuna Sumu wacha iniue tu,,, naachaji kula wali MzeeBaba...
 
Back
Top Bottom