uttoh2002
JF-Expert Member
- Feb 3, 2012
- 17,060
- 32,400
Aliyempa ushauri wa kutafuta demu ataka kumwingiza chaka. Mademu wengi wa kizazi hiki wana namba za muuza chips
Ha ha ha, hawa wadada watakuua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aliyempa ushauri wa kutafuta demu ataka kumwingiza chaka. Mademu wengi wa kizazi hiki wana namba za muuza chips
man ukiona shida sana fanya hivi nnavyokuelekeza.. na si kwa jiko la gesi tuu hata ukitaka kupika kwa moto wa Hita.
Chambua osha kisha loweka kwa dk 3 au 5 chuikua mchele wako weka ndani ya mfuko wa plastk usiopitisha maji.. weka chimvi na mafuta funga mfuko wako vizuri.
ukiwasha jiko bandika sufuria la maji tumbikiza mfuko wako ndani kaa dk 10 wali tayari.
Mi nafanya ivi napikia wali kwenye gesi ukishakakamia naomba moto kwa jirani wa kupalia pale juu kwaiyo chin unakuwa moto wa gesi kidogo juu naweka mkaa wa moto kidogo kama jilani hana moto basi napamban iv iv kwenye gesi kwa kutumia moto mdogo mdogo hadi wali ukauke.Wana jamii naomba maujuzi ya kupika wali kwa gesi hadi kuukausha kwake.
Wakuu nipeni ujuzi hapa,, Kila siku nikipika wali kwa kutumia jiko langu la Gas naona unanisumbua sana,, kwanza hauivi pia unaungua sana chini ya sufuri, nimewaza hadi kununua Rice cooker Wenda itanisaidia kuivisha vizuri.
Kwa Sasa sijaoa, mchumba wangu ni Mtumishi wa Umma anakujaga weekend tu na anapenda kupika vitu vya kukaangakaanga tu.
Asante Julymeme nimepata Somo hapaFanya hivi..., kwanza ukaange na mafuta kisha tia maji ya baridi...., moto uwe kiasi..., pili ukianza kukauka maji weka mfuniko wa bati au chuma chini ya sufuria hapo sasa uache uendelee kuiva pole pole ila uwe unauangalia. Hiyo ndio siri ya kambi [emoji2308][emoji2308]
Rahisi sana, maji yakishachemka na ukishatia mchele wako acha uchemke kiasi na huo moto wako mkali unaowekaga kila siku, kama dk3 hivi then shusha moto wa gesi Yako uwe wa chini sanaaa acha kiumane taraaaatibu, wali utaiva vizur na utafurahia mbona na sufuri hataungua ila utaitoboa kwasabb Koko la huo wali linakuatamu mnoWakuu nipeni ujuzi hapa,, Kila siku nikipika wali kwa kutumia jiko langu la Gas naona unanisumbua sana,, kwanza hauivi pia unaungua sana chini ya sufuri, nimewaza hadi kununua Rice cooker Wenda itanisaidia kuivisha vizuri.
Kwa Sasa sijaoa, mchumba wangu ni Mtumishi wa Umma anakujaga weekend tu na anapenda kupika vitu vya kukaangakaanga tu.
SIo ubwaba ila ni waliUbwabwa kupikwa kwenye gesi ni ukatili
Ni wali mkuu sio ubwabwaUbwabwa kupikwa kwenye gesi ni ukatili
Nunua pressure cooker ya Von (around 250k) au kama una kauwezo kidogo nunua ya Nutri cook (around 300k).Wakuu nipeni ujuzi hapa,, Kila siku nikipika wali kwa kutumia jiko langu la Gas naona unanisumbua sana,, kwanza hauivi pia unaungua sana chini ya sufuria, nimewaza hadi kununua Rice cooker Wenda itanisaidia kuivisha vizuri.
Kwa Sasa sijaoa, mchumba wangu ni Mtumishi wa Umma anakujaga weekend tu na anapenda kupika vitu vya kukaangakaanga tu.
Wali ni tofauti na ubwabwa?Ni wali mkuu sio ubwabwa
Kama ni gharama kuokoa gharama anunue rice cooker.Nunua pressure cooker ya Von (around 250k) au kama una kauwezo kidogo nunua ya Nutri cook (around 300k).
Ukiwa na hizo ni swala la kubonyeza button wali unaiva.
sana!!! Ndio maana mtu akiitwa bwabwa huchukiaWali ni tofauti na ubwabwa?
Nunua pressure cooker ya Von (around 250k) au kama una kauwezo kidogo nunua ya Nutri cook (around 300k).Wakuu nipeni ujuzi hapa,, Kila siku nikipika wali kwa kutumia jiko langu la Gas naona unanisumbua sana,, kwanza hauivi pia unaungua sana chini ya sufuria, nimewaza hadi kununua Rice cooker Wenda itanisaidia kuivisha vizuri.
Kwa Sasa sijaoa, mchumba wangu ni Mtumishi wa Umma anakujaga weekend tu na anapenda kupika vitu vya kukaangakaanga tu.
Pressure cooker inapika kuanzia birian, wali, ugali mpaka makande, supu na mboga za majani! Rice cooker sidhan kama inaweza fanya hivyoKama ni gharama kuokoa gharama anunue rice cooker.
Bei haizidi laki.
Achana na rice cooker tafuta pressure cooker walau ya Von hutojuta!Wakuu nipeni ujuzi hapa,, Kila siku nikipika wali kwa kutumia jiko langu la Gas naona unanisumbua sana,, kwanza hauivi pia unaungua sana chini ya sufuria, nimewaza hadi kununua Rice cooker Wenda itanisaidia kuivisha vizuri.
Kwa Sasa sijaoa, mchumba wangu ni Mtumishi wa Umma anakujaga weekend tu na anapenda kupika vitu vya kukaangakaanga tu.
OkSIo ubwaba ila ni wali
Sawa mkuuNi wali mkuu sio ubwabwa