Hio ni asian cuisineUnamaanisha ni kama unapika chips zege?
je naweza kuweka chumvi badala ya sukari?
Ni asili ya wapi hiki chakula?
Eeh ulijua kinaliwa kibichiKuna siku nina kiporo changu cha ubwabwa na rost la maini ila nikajisikia kama kula cha tofauti hivi. Wazo likanijia kupika hivi ulivyopika ila niliweka chumvi na kikawa kitamu tu na ka juice ka embe.
Kumbe ni chakula kabisa kinapikwaga[emoji134][emoji134][emoji134]
Unamaanisha ni kama unapika chips zege?
je naweza kuweka chumvi badala ya sukari?
Ni asili ya wapi hiki chakula?
Aiseee hongera kwa kujaribu pishi[emoji3531] ile ban sitaki kuikumbuka[emoji38]Nilishawahi kupika kwa kutumia hii recipe yako Goddess nilitaka kuweka mrejesho huu uzi ukaoneshwa umefungwa na wewe ulipigwa ban ni muda kidogo ilikuwa.
Mimi niliweka na mayonnaise tomato na pepsi baridi ilikuwa tamu mno
mama wawili
Sasa ndo hadi uzi wako wakauzuia?Aiseee hongera kwa kujaribu pishi[emoji3531] ile ban sitaki kuikumbuka[emoji38]
naukaang kwa mafuta au bila mafuta?Mahitaji: Mayai, wali, sukari.
Jinsi ya kuandaa:
Chemsha wali wako kama kawaida au hata kama unakiporo kitafaa,
Tia wali wako kwenye bakuli kubwa ambalo utachanganyia,
Kisha piga mayai wa 2_3 au upendavyo kutokana na kias cha wali unaotaka kukaanga.
Kisa tia sukari 2Table spoon.
Changanya na mchanganyiko wako uko tayari kwa kupikwa.
Ziada: unaweza kula kwa breakfast au upendavyo
View attachment 1229811
Nilishawahi kupika kwa kutumia hii recipe yako Goddess nilitaka kuweka mrejesho huu uzi ukaoneshwa umefungwa na wewe ulipigwa ban ni muda kidogo ilikuwa.
Mimi niliweka na mayonnaise tomato na pepsi baridi ilikuwa tamu mno
mama wawili