Wali wa kitunguu

Wali wa kitunguu

Nimejaribu kupika juzi, wali ukalala. Kuamka asubuhi kiporo kinanuka sana
 
Viliiva hadi kufikia kuungua?

Hapana. Nilitenga sufuria tupu jikoni. Nikaweka mafuta. Kisha nikaweka vitunguu hapohapo nikamwagia mchele.
Nikageuza geuza kisha nikaweka maji nikafunika. Sikusubiri vitunguu viungue.
 
Hapana. Nilitenga sufuria tupu jikoni. Nikasema mafuta. Kisha nikaweka vitunguu hapohapo nikamwagia mchele.
Nikageuza geuza kisha nikaweka maji nikafunika. Sikusubiri vitunguu viungue.
Sasa hili ni pishi lako wewe na Saint Anne, Mimi sikuelekeza hivi
 
Back
Top Bottom