Wali wa kitunguu

Wali wa kitunguu

Duuh wali wa vitunguu tena?

Ngoja namimi nijaribu kutengeneza wali wa Tangawizi na malimao
 
Mimi kila nikipika lazima Niweke kitunguu.
Wali unanukia huo,ukianza kuula unakuwa mtamu balaa.
Mama wee siku moja nilienda ugenini Mimi Huyo nikajitia kupika [emoji3],kumbe hata hawawekagi vitunguu...nikamsikia mtu mmoja anasema huu wali mbona unanuka hivi,Nani amepika[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] kama nakuona ulivyokuwa mdogo!
 
Hello guys,

Kwa wale wanaopenda kula kama mimi nimeona niwashirikishe hili pishi rahisi sana. Mwaka jana mwishoni katika kuhangaika na maisha nilienda mkoa mmoja ndanindani huko. Kule nilikuta wanapika wali wa kitunguu kwa kweli niliupenda. Pengine wengine mnajua ila nina uhakika wapo ambao hawafahamu. Twende pamoja.

1. Andaa kitunguu maji katakata vipande vya kawaida.

2. Tia mafuta kwenye sufuria unayotaka kupikia wali (hakikisha umeandaa maji ya moto pembeni).

3. Tia vitunguu kwenye mafuta yaliyochemka, kaanga mpaka viungue (sio viive, vinatakiwa viungue).

4. Tia mchele, geuza hadi vitunguu vichanganyike na vitunguu (mchele ubadilike rangi). Baada ya hapo tia maji na endelea na hatua zingine kama kawaida.

Wali unakuwa na ladha fulani hivi ya kuvutia, mimi niliupenda najua na wewe utaupenda
Naeza kupa mwaliko uje nyumban tupke wote kwa pamoja[emoji39]
 
Nimejaribu kupika jana ni mtamu sana,unaweza hata kujikuta unaula bila mboga...
 
Back
Top Bottom