Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Duuh wali wa vitunguu tena?
Ngoja namimi nijaribu kutengeneza wali wa Tangawizi na malimao
Ngoja namimi nijaribu kutengeneza wali wa Tangawizi na malimao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wewe ukifungua mgahawa sidhani kama utaona sura yangu hapo ofisini kwako [emoji1787] [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mimi vitunguu vikiungua vinanichefuaMimi pia hapana kwa kweli, vione vitunguu vyeupe kwenye wali tena
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi huwa navichambua naviondoa! Tena hivyo vyeupe ndo kabisaa bora hata vilivyoungua naweza vivumilia.Mimi pia hapana kwa kweli, vione vitunguu vyeupe kwenye wali tena
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe inatakiwa ukatiwe vitunguu vidogo Sana ambavyo ukipika mboga vinayeyukia humohumo havionekani kabisa.Mimi huwa navichambua naviondoa! Tena hivyo vyeupe ndo kabisaa bora hata vilivyoungua naweza vivumilia.
Hapo bomba! Na huto tuvipande tusiwe twingi hadi harufu ya vitunguu ikawa kali.Wewe inatakiwa ukatiwe vitunguu vidogo Sana ambavyo ukipika mboga vinayeyukia humohumo havionekani kabisa.
Lol[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapo bomba! Na huto tuvipande tusiwe twingi hadi harufu ya vitunguu ikawa kali.
Itanukia tu sababu dunia yetu ina viungo vingi sana vya mboga na waliLol[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Basi mbona nitakuwa napakua Cha kwako halafu changu naongeza vitunguu vya kutosha.
Mimi mboga isiyonukia kwa kweli hapana.
Mimi napenda zaidi vitunguu na hohoItanukia tu sababu dunia yetu ina viungo vingi sana vya mboga na wali
Mimi kila nikipika lazima Niweke kitunguu.
Wali unanukia huo,ukianza kuula unakuwa mtamu balaa.
Mama wee siku moja nilienda ugenini Mimi Huyo nikajitia kupika [emoji3],kumbe hata hawawekagi vitunguu...nikamsikia mtu mmoja anasema huu wali mbona unanuka hivi,Nani amepika[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
We acha tu,halafu kwa watu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] kama nakuona ulivyokuwa mdogo!
Naeza kupa mwaliko uje nyumban tupke wote kwa pamoja[emoji39]Hello guys,
Kwa wale wanaopenda kula kama mimi nimeona niwashirikishe hili pishi rahisi sana. Mwaka jana mwishoni katika kuhangaika na maisha nilienda mkoa mmoja ndanindani huko. Kule nilikuta wanapika wali wa kitunguu kwa kweli niliupenda. Pengine wengine mnajua ila nina uhakika wapo ambao hawafahamu. Twende pamoja.
1. Andaa kitunguu maji katakata vipande vya kawaida.
2. Tia mafuta kwenye sufuria unayotaka kupikia wali (hakikisha umeandaa maji ya moto pembeni).
3. Tia vitunguu kwenye mafuta yaliyochemka, kaanga mpaka viungue (sio viive, vinatakiwa viungue).
4. Tia mchele, geuza hadi vitunguu vichanganyike na vitunguu (mchele ubadilike rangi). Baada ya hapo tia maji na endelea na hatua zingine kama kawaida.
Wali unakuwa na ladha fulani hivi ya kuvutia, mimi niliupenda najua na wewe utaupenda
Nimejaribu kupika jana ni mtamu sana,unaweza hata kujikuta unaula bila mboga...Hello guys,
Kwa wale wanaopenda kula kama mimi nimeona niwashirikishe hili pishi rahisi sana. Mwaka jana mwishoni katika kuhangaika na maisha nilienda mkoa mmoja ndanindani huko. Kule nilikuta wanapika wali wa kitunguu kwa kweli niliupenda. Pengine wengine mnajua ila nina uhakika wapo ambao hawafahamu. Twende pamoja.
1. Andaa kitunguu maji katakata vipande vya kawaida.
2. Tia mafuta kwenye sufuria unayotaka kupikia wali (hakikisha umeandaa maji ya moto pembeni).
3. Tia vitunguu kwenye mafuta yaliyochemka, kaanga mpaka viungue (sio viive, vinatakiwa viungue).
4. Tia mchele, geuza hadi vitunguu vichanganyike na vitunguu (mchele ubadilike rangi). Baada ya hapo tia maji na endelea na hatua zingine kama kawaida.
Wali unakuwa na ladha fulani hivi ya kuvutia, mimi niliupenda najua na wewe utaupenda
Hongera mkuu, ni mtamu kwa kweliNimejaribu kupika jana ni mtamu sana,unaweza hata kujikuta unaula bila mboga...
Wazo zuri mkuu[emoji4][emoji4]Naeza kupa mwaliko uje nyumban tupke wote kwa pamoja[emoji39]
Kwa huo upishi wako wali una badilika rangi? yaan bila kuunguza vtunguuokay kila Mtu na upishi wake,
Ila napika polepole vitunguu bila kuunguza
Mkuu ulijaribu?Duuh wali wa vitunguu tena?
Ngoja namimi nijaribu kutengeneza wali wa Tangawizi na malimao
Wakati wa COVID ndiyo kilikuwa chakula changu kikuu