Viliiva hadi kufikia kuungua?
Sasa hili ni pishi lako wewe na Saint Anne, Mimi sikuelekeza hiviHapana. Nilitenga sufuria tupu jikoni. Nikasema mafuta. Kisha nikaweka vitunguu hapohapo nikamwagia mchele.
Nikageuza geuza kisha nikaweka maji nikafunika. Sikusubiri vitunguu viungue.