Walibya walivumilia Utawala wa Ghadafi ila siku Walipopata chance....

Kinyungu

Platinum Member
Joined
Apr 6, 2008
Posts
22,912
Reaction score
46,240
Tuwe makini na matendo yetu.
Walibya walikuwa waoga sana wa serikali yao iliyokuwa ikiwanyoosha kwa mkono wa chuma. Lakini walipopata chance ikabaki historia...
 
siyo chance, USA alipokuja kutafuta mafuta. sasa hapa kuna nini cha kumleta...madini labda tukapona
 
Back
Top Bottom