Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Leo hii mimi mwenye akili timamu namshangiliaje Haji Manara? Huyu mshenzi ambaye alitutukana kwa kila tusi aliloweza kututukana leo hii sisi wenye akili tubebane naye?
Haya ni matusi. Na kutuaminisha alichosema Luc Eymael kuwa ni sahihi...Sisi ni Nyani au Mbwa. Na hili sitokubaliana nalo.
Kuna mazuri GSM imefanya kwa Yanga...but kwa hili hapana. Hapana nakataa. Kwa hiyo Haji Manara ndo tumeona ana msaada mkubwa kwetu? Kwa lipi?
Hii movie nlijua mapema sana. Kuwa GSM wanatuona hatuna akili. Wanaamini kuwa Haji ndiye solution ya matatizo yetu.