Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamani hii pisi kali chooni inaendaga kweli ama
Nimekuja kushangaa aliposema baba na mama yake ni Yanga ,na mke ni Yanga ,aisee sijawahi kusikia upuuzi unahama timu kisa mkeHaji kawahakikishia Yanga atawapa ubingwa msimu huu,yeye ni kocha au mchezaji?
Manara anaondoka na watu wake
Kuna vitu unavisema kwa aibu sana aisee. Msimu ulioishae mlisema hivi halafu nini kiliwatokea.Mbumbumbu mbona mnaweweseka? Kila mtu ashinde mechi zake.
Mashabiki wa SIMBA tupo ngangari kinoma. Mashabiki wa Manara tuachieni timu yetu, sisi tuko simba kwa ajili ya simba siyo mtu.
kaeni kwa kutulia enyi Mikia msio na akilieti anasema kama kawapa Simba Sc mara 4 basi atawapa Yanga mara 28. Kawa kweli Utpolo,Haji kaipaje Simba ubingwa?
Zeruzeru anashindwa kuisemea timu yake amebaki kumtolea povu Mo na CEO, mpuuzi sana huyu halafu Utopolo ndiyo wameona huu ni bonge la usajili
Kamati zilikwisha vunjwa baada ya kuda wake kusheria ku-Expire.View attachment 1907306
unatakiwa kubalance biashara na hadhi,hadhi ya club inapotea
Ujio wa Haji haukuwa wa kiuhitaji zaidi bali ni siasa za ushabiki baina ya timu hizi mbili. Kingine ni kwamba huyu dogo Manara amefanyiwa tu fadhila kufanya kazi Yanga pale, lilikuwa ni ombi maalum kutoka kwa Mzee wake Sunday Manara.Kwanza wamekubali kua wao ni wadogo kwenye hicho kitengo na hawana uwezo kumzidi haji na usikute hata mshahara wake ukawa mkubwa kuwazidi hao wote ambao wameipigania timu kwa kipindi kirefu
Ofcourse kwa sasa GSM ndi wenye sauti ya mwisho kwa sasa, Je wewe ulitaka mzee mpili ndio awe sauti ya mwisho..Ujio wa Haji Yanga ni uthibitisho tosha kuwa GSM ndiye mwenye sauti ya mwisho Yanga alitakalo ndilo linakuwa. Naamini hakuna kiongozi hata mmoja aliyechaguliwa na wana Yanga ambaye alikuwa na wazo la kumchukua huyu roporopo na hakuna ambaye amefurahia ujio wake,huu ni mpango wa Ghalib binafsi kwa ajili ya biashara yake ya jezi. Ghalib ni mfanyabiashara anachoangalia yeye ni kupata faida tu. Poleni wana Yanga kindakindaki, mwenye pesa siyo mwenzio.
Bumbuli & Nugaz wanaendelea na kazi zao.Yani kweli hawa jamaa ni mabwege,, yani hawa kweli wakumshangilia haji na kusahau hukumu ya Morrison😄,, hivi pale yanga si kuna yule bumbuli na nugazi sasa yule haji tena wa kazi gani?
Mkuu umeongea point sana. Ila kuna angle ambayo inafeli maandalizi ya uwanjani. Hawa utopolo ni binadamu pia uwezi ukawahamasisha kila siku afu matokeo hafifu. Kwenye soko unashauriwa market oriented sio product oriented. Yanga unafanya product oriented. Je, mashabiki wa Yanga wataendelea kufurahi timu ikiwa unapata matokeo mabaya kwa sababu manara anahamasisha. Naamini mngetafuta kwanza mashabiki wanahitaji nini( marketing oriented) ndipo wakija watu wa promo bidhaa inakua inauzika.Kwani hilo hulijui?bila GSM, kuna yanga ambayo inaweza ikasimama kifua mbele?hiyo michango yenu ya buku buku, iliifikisha timu wapi?kwa GSM, kibiashara kumtumia haji ame wine sana, sasa pesa za yanga zinatoka gsm, acha manara awazalishie nyie si wazee wa kutumia tu?!!mnajua zinatoka wapi pesa za usajiri?kwani manara ni binadamu yaani aache kutengeneza maisha yake eti kwa kuogopa simba watanionaje?mambo ya kizamani hayo, nyie pigeni kelele jamaa mambo yake yanamnyookea tu!!mwanayanga ana hasara gani kwa ujio wake?zaidi ya faida tu kwani kwa kuhamasisha tu jamaa anaweza.
Kitulize ewe Mkia bint DewjiHaya Nyani