Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unagombana na mkeo daily halafu anatokea jirani anakushauri umuache, unamuacha mkeo kesho unamkuta kwa jirani anaosha vyomboManeno ya Utopolo:-
- Manara ni mjinga hana sifa ya kuwa msemaji wa Timu
- Manara hana weledi wa kazi
- Manara hajielewi
- Simba imfukuze Manara
- Simba inaendeshwa kiswahiliswahili ndiyomana ina Manara.
- Manara hana lolote zaidi ya uropokaji.
Sasa haya yote waliyoyasema yanawaridia wenyewe.