Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
eti anasema kama kawapa Simba Sc mara 4 basi atawapa Yanga mara 28. Kawa kweli Utpolo,Haji kaipaje Simba ubingwa?Haji kawahakikishia Yanga atawapa ubingwa msimu huu,yeye ni kocha au mchezaji?
Ujio wa Haji Yanga ni uthibitisho tosha kuwa GSM ndiye mwenye sauti ya mwisho Yanga alitakalo ndilo linakuwa. Naamini hakuna kiongozi hata mmoja aliyechaguliwa na wana Yanga ambaye alikuwa na wazo la kumchukua huyu roporopo na hakuna ambaye amefurahia ujio wake,huu ni mpango wa Ghalib binafsi kwa ajili ya biashara yake ya jezi. Ghalib ni mfanyabiashara anachoangalia yeye ni kupata faida tu. Poleni wana Yanga kindakindaki, mwenye pesa siyo mwenzio.Leo hii mimi mwenye akili timamu namshangiliaje Haji Manara? Huyu mshenzi ambaye alitutukana kwa kila tusi aliloweza kututukana leo hii sisi wenye akili tubebane naye?
Haya ni matusi. Na kutuaminisha alichosema Luc Eymael kuwa ni sahihi...Sisi ni Nyani au Mbwa. Na hili sitokubaliana nalo.
Kuna mazuri GSM imefanya kwa Yanga...but kwa hili hapana. Hapana nakataa. Kwa hiyo Haji Manara ndo tumeona ana msaada mkubwa kwetu? Kwa lipi?
View attachment 1907298View attachment 1907299
Hii movie nlijua mapema sana. Kuwa GSM wanatuona hatuna akili. Wanaamini kuwa Haji ndiye solution ya matatizo yetu.
Kwani hilo hulijui?bila GSM, kuna yanga ambayo inaweza ikasimama kifua mbele?hiyo michango yenu ya buku buku, iliifikisha timu wapi?kwa GSM, kibiashara kumtumia haji ame wine sana, sasa pesa za yanga zinatoka gsm, acha manara awazalishie nyie si wazee wa kutumia tu?!!mnajua zinatoka wapi pesa za usajiri?kwani manara ni binadamu yaani aache kutengeneza maisha yake eti kwa kuogopa simba watanionaje?mambo ya kizamani hayo, nyie pigeni kelele jamaa mambo yake yanamnyookea tu!!mwanayanga ana hasara gani kwa ujio wake?zaidi ya faida tu kwani kwa kuhamasisha tu jamaa anaweza.Ujio wa Haji Yanga ni uthibitisho tosha kuwa GSM ndiye mwenye sauti ya mwisho Yanga alitakalo ndilo linakuwa. Naamini hakuna kiongozi hata mmoja aliyechaguliwa na wana Yanga ambaye alikuwa na wazo la kumchukua huyu roporopo na hakuna ambaye amefurahia ujio wake,huu ni mpango wa Ghalib binafsi kwa ajili ya biashara yake ya jezi. Ghalib ni mfanyabiashara anachoangalia yeye ni kupata faida tu. Poleni wana Yanga kindakindaki, mwenye pesa siyo mwenzio.
Ngoja msimu uanze tuanze kutembeza stick kwanzaeti anasema kama kawapa Simba Sc mara 4 basi atawapa Yanga mara 28. Kawa kweli Utpolo,Haji kaipaje Simba ubingwa?
Kwanza wamekubali kua wao ni wadogo kwenye hicho kitengo na hawana uwezo kumzidi haji na usikute hata mshahara wake ukawa mkubwa kuwazidi hao wote ambao wameipigania timu kwa kipindi kirefuYani kweli hawa jamaa ni mabwege,, yani hawa kweli wakumshangilia haji na kusahau hukumu ya Morrisonš,, hivi pale yanga si kuna yule bumbuli na nugazi sasa yule haji tena wa kazi gani, ni kwamba Tanzania nzima wamekosa mtu kabisa wa kupiga porojo mpaka waende kwa haji,
Sawa ngoja tuone...