Walichokifanya Yanga kwa Simba sio sahihi

Unatofauti gani na mtoto anaejifunza jinsi ya kuandika sentensi? Kama mmoja wa Great thinkers weka ushahidi wa hivi unavyovisema lasivyo subiri majibu ya kwenye vijiwe vya kahawa
Ushahidi upi mkuu ingia YouTube utaona kila kitu
 
Bila ushahidi utavalishwa dera
Avic sio mali ya Yanga, tafuta hela hata ww unaweza kuishi pale
 
Yanga kama ccm, Wana roho mbaya kama wachawi.
 
Ikiwa imepita siku moja tangu Simba amshushie kipigo kizito jwaneng galaxy pale kwenye dimba la Benjamin William mkapa, ni kawaida duniani kote lazima kutakuwa na team ambazo zina upinzani kwenye league husika kwa hyo sisi Tanzania tuna SIimba na Yanga ila kwa huu uhuni wanaoufanya Yanga kwa Simba viongozi wasikae kimya waswahili wanasema kisasi ni haki.

Kwa mambo haya waliyofanya Yanga walivuka mipaka:

1. Yanga waliwapokea jwaneng galaxy na wakawafadhili Kambi kigamboni.

2. Yanga walisafiri kwenda kwenye mechi ya Al Ahly wakamuacha video analyst ili asaidiane na benchi la ufundi la jwaneng galaxy.

3. Maneno aliyotoa kocha wa Jwaneng Galaxy kabla na baada ya mchezo alielekezwa na viongozi wa Yanga.

4. Gharama za usafiri, Malazi na chakula Jwaneng Galaxy hawakutoa hata senti moja tangia wamekuja mpaka wameondoka Tanzania Kigamboni FC walimaliza kazi.

5. Wachezaji wa Jwaneng Galaxy hawakuingia vyumba vya kubadilishia nguo kipindi cha mapumziko baada ya kuambiwa na Yanga kwamba Simba wameweka dawa vyumbani.

6. Yanga waliwaambia viongozi na wachezaji wa Jwaneng Galaxy kwamba Simba wana mbinu chafu nje ya uwanja hvyo wajiandae ndio zile vurugu zilitokea siku ya mechi.

7. Mashabiki wa Yanga wanaenda airport kuwapokea wageni na viongozi wao wanawapa baraka zote.

8. Siku ya mechi ya Simba na Orlando pirates pamoja na kaizer chief viongozi wa Yanga walivaa jezi za mpinzani hadharani wakionyesha kuwapa support wapinzani.

9. Viongozi wa Yanga walikuwa bega kwa bega na Jwaneng Galaxy kuanzia wanakuja Tanzania mpaka siku ya mechi mpaka halftime walikuwa pamoja kweli hii sio sawa.

10. Wataalamu wa yanga walio mtupia majini mayele wote walikuwa uwanjani kati ya mechi ya Jwaneng Galaxy na Simba ili kuwasadia wapinzani wao kufunga ila qmwisho wa siku waliondoka na aibu.

NB: Simba hawajahi kushiriki kumsaidia mpinzani wakati anacheza na Yanga acheni roho mbaya.
Weka ushahidi
 
Wamebamizwa timu mbili at pa....
UtoMakirikiri
 
Aina hii ya mashabiki wa mbumbumbu Fc ndio wanao mfanya Rage awe maarufu.

Tengenezeni timu, mpira auchezwi kishirikina, msipoangalia mtaendelea kuishia robo kwa miaka mingi zaidi na Bado mtailaumu Yanga.
Huwezi cheza nusu kwa timu ya ku ungaunga mwishowe mnamtafuta mchawi.
 
Yanga walikua wana pata faida gani na hio mechi kiasi kwamba watumie pesa nyingi kiasi hicho? Makadirio ya kuifadhi team siku hizo zote ambayo ni chakula, maradhi, transport na training ground ni almost 50M je Yanga Wana utajiri huo wa kufuja pesa ?
 
Kwani mimi na mayele nani anawajua yanga mbona alisema mmemtupia majini sasa uongo unakujaje.
 
Kwani mlivyokuwa mnaenda airport mlikuwa mnapata faida gani kuwapokea wageni.
 
YANGA ina characters ( kisaikolojia za watu WEAK..
 
Kwani mlivyokuwa mnaenda airport mlikuwa mnapata faida gani kuwapokea wageni.
niambie faida za ambazo Yanga wangepata kisasi kwamba watumie pesa nyingi kiasi hicho kuwa gharamia Jwaneng, story za airport ni mashabiki ambao gharama yao ilikua nauli ya daladala
 
Ikiwa imepita siku moja tangu Simba amshushie kipigo kizito jwaneng galaxy pale kwenye dimba la Benjamin William mkapa, ni kawaida duniani kote lazima kutakuwa na team ambazo zina upinzani kwenye league husika kwa hyo sisi Tanzania tuna SIimba na Yanga ila kwa huu uhuni wanaoufanya Yanga kwa Simba viongozi wasikae kimya waswahili wanasema kisasi ni haki.

Kwa mambo haya waliyofanya Yanga walivuka mipaka:

1. Yanga waliwapokea jwaneng galaxy na wakawafadhili Kambi kigamboni.

2. Yanga walisafiri kwenda kwenye mechi ya Al Ahly wakamuacha video analyst ili asaidiane na benchi la ufundi la jwaneng galaxy.

3. Maneno aliyotoa kocha wa Jwaneng Galaxy kabla na baada ya mchezo alielekezwa na viongozi wa Yanga.

4. Gharama za usafiri, Malazi na chakula Jwaneng Galaxy hawakutoa hata senti moja tangia wamekuja mpaka wameondoka Tanzania Kigamboni FC walimaliza kazi.

5. Wachezaji wa Jwaneng Galaxy hawakuingia vyumba vya kubadilishia nguo kipindi cha mapumziko baada ya kuambiwa na Yanga kwamba Simba wameweka dawa vyumbani.

6. Yanga waliwaambia viongozi na wachezaji wa Jwaneng Galaxy kwamba Simba wana mbinu chafu nje ya uwanja hvyo wajiandae ndio zile vurugu zilitokea siku ya mechi.

7. Mashabiki wa Yanga wanaenda airport kuwapokea wageni na viongozi wao wanawapa baraka zote.

8. Siku ya mechi ya Simba na Orlando pirates pamoja na kaizer chief viongozi wa Yanga walivaa jezi za mpinzani hadharani wakionyesha kuwapa support wapinzani.

9. Viongozi wa Yanga walikuwa bega kwa bega na Jwaneng Galaxy kuanzia wanakuja Tanzania mpaka siku ya mechi mpaka halftime walikuwa pamoja kweli hii sio sawa.

10. Wataalamu wa yanga walio mtupia majini mayele wote walikuwa uwanjani kati ya mechi ya Jwaneng Galaxy na Simba ili kuwasadia wapinzani wao kufunga ila mwisho wa siku waliondoka na aibu.

NB: Simba hawajahi kushiriki kumsaidia mpinzani wakati anacheza na Yanga acheni roho mbaya.
Ana hoja za msingi kuhusu MWIKO NYUMA FC asipuuzwe
 
Sioni sababu ya Simba kulalamika, kwanini wanalazimisha urafiki na yanga? Wao waichukulie Kama changamoto na wawajibu kwa vitendo.
 
Nasikitika kwa nini nimesoma upuuzi wa fala huyu!
Kenge wewe.
 
Kama ni hivyo yanga wazalendo, maana wanalalamika kupewa chakula chenye sumu
 
Kwani mimi na mayele nani anawajua yanga mbona alisema mmemtupia majini sasa uongo unakujaje.
Na wewe kwa akili zako timamu unaamini Mayele katupiwa majini??
Kweli makolozidadi mafala.
Asitupiwe majini FEISAL SALUM ALOONDOKA YANGA KWA UGUMU na bado anapeta Azam Fc.
Tengenezeni timu acheni kelele.
Ni fala tu anayeweza amini kuwa Mayele katupiwa jini ilhali Feitoto yupo na anaendelea na mpira wake.
 
Back
Top Bottom