Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uwanja hauna taa ule ndio maana nimeuliza lini umewekwa taa?Hakuna umeme kule wanatumia vibatari na MWIKO?
Weka ushahidiIkiwa imepita siku moja tangu Simba amshushie kipigo kizito jwaneng galaxy pale kwenye dimba la Benjamin William mkapa, ni kawaida duniani kote lazima kutakuwa na team ambazo zina upinzani kwenye league husika kwa hyo sisi Tanzania tuna SIimba na Yanga ila kwa huu uhuni wanaoufanya Yanga kwa Simba viongozi wasikae kimya waswahili wanasema kisasi ni haki.
Kwa mambo haya waliyofanya Yanga walivuka mipaka:
1. Yanga waliwapokea jwaneng galaxy na wakawafadhili Kambi kigamboni.
2. Yanga walisafiri kwenda kwenye mechi ya Al Ahly wakamuacha video analyst ili asaidiane na benchi la ufundi la jwaneng galaxy.
3. Maneno aliyotoa kocha wa Jwaneng Galaxy kabla na baada ya mchezo alielekezwa na viongozi wa Yanga.
4. Gharama za usafiri, Malazi na chakula Jwaneng Galaxy hawakutoa hata senti moja tangia wamekuja mpaka wameondoka Tanzania Kigamboni FC walimaliza kazi.
5. Wachezaji wa Jwaneng Galaxy hawakuingia vyumba vya kubadilishia nguo kipindi cha mapumziko baada ya kuambiwa na Yanga kwamba Simba wameweka dawa vyumbani.
6. Yanga waliwaambia viongozi na wachezaji wa Jwaneng Galaxy kwamba Simba wana mbinu chafu nje ya uwanja hvyo wajiandae ndio zile vurugu zilitokea siku ya mechi.
7. Mashabiki wa Yanga wanaenda airport kuwapokea wageni na viongozi wao wanawapa baraka zote.
8. Siku ya mechi ya Simba na Orlando pirates pamoja na kaizer chief viongozi wa Yanga walivaa jezi za mpinzani hadharani wakionyesha kuwapa support wapinzani.
9. Viongozi wa Yanga walikuwa bega kwa bega na Jwaneng Galaxy kuanzia wanakuja Tanzania mpaka siku ya mechi mpaka halftime walikuwa pamoja kweli hii sio sawa.
10. Wataalamu wa yanga walio mtupia majini mayele wote walikuwa uwanjani kati ya mechi ya Jwaneng Galaxy na Simba ili kuwasadia wapinzani wao kufunga ila qmwisho wa siku waliondoka na aibu.
NB: Simba hawajahi kushiriki kumsaidia mpinzani wakati anacheza na Yanga acheni roho mbaya.
Kwani mimi na mayele nani anawajua yanga mbona alisema mmemtupia majini sasa uongo unakujaje.Aina hii ya mashabiki wa mbumbumbu Fc ndio wanao mfanya Rage awe maarufu.
Tengenezeni timu, mpira auchezwi kishirikina, msipoangalia mtaendelea kuishia robo kwa miaka mingi zaidi na Bado mtailaumu Yanga.
Huwezi cheza nusu kwa timu ya ku ungaunga mwishowe mnamtafuta mchawi.
Kwani mlivyokuwa mnaenda airport mlikuwa mnapata faida gani kuwapokea wageni.Yanga walikua wana pata faida gani na hio mechi kiasi kwamba watumie pesa nyingi kiasi hicho? Makadirio ya kuifadhi team siku hizo zote ambayo ni chakula, maradhi, transport na training ground ni almost 50M je Yanga Wana utajiri huo wa kufuja pesa ?
niambie faida za ambazo Yanga wangepata kisasi kwamba watumie pesa nyingi kiasi hicho kuwa gharamia Jwaneng, story za airport ni mashabiki ambao gharama yao ilikua nauli ya daladalaKwani mlivyokuwa mnaenda airport mlikuwa mnapata faida gani kuwapokea wageni.
Ana hoja za msingi kuhusu MWIKO NYUMA FC asipuuzweIkiwa imepita siku moja tangu Simba amshushie kipigo kizito jwaneng galaxy pale kwenye dimba la Benjamin William mkapa, ni kawaida duniani kote lazima kutakuwa na team ambazo zina upinzani kwenye league husika kwa hyo sisi Tanzania tuna SIimba na Yanga ila kwa huu uhuni wanaoufanya Yanga kwa Simba viongozi wasikae kimya waswahili wanasema kisasi ni haki.
Kwa mambo haya waliyofanya Yanga walivuka mipaka:
1. Yanga waliwapokea jwaneng galaxy na wakawafadhili Kambi kigamboni.
2. Yanga walisafiri kwenda kwenye mechi ya Al Ahly wakamuacha video analyst ili asaidiane na benchi la ufundi la jwaneng galaxy.
3. Maneno aliyotoa kocha wa Jwaneng Galaxy kabla na baada ya mchezo alielekezwa na viongozi wa Yanga.
4. Gharama za usafiri, Malazi na chakula Jwaneng Galaxy hawakutoa hata senti moja tangia wamekuja mpaka wameondoka Tanzania Kigamboni FC walimaliza kazi.
5. Wachezaji wa Jwaneng Galaxy hawakuingia vyumba vya kubadilishia nguo kipindi cha mapumziko baada ya kuambiwa na Yanga kwamba Simba wameweka dawa vyumbani.
6. Yanga waliwaambia viongozi na wachezaji wa Jwaneng Galaxy kwamba Simba wana mbinu chafu nje ya uwanja hvyo wajiandae ndio zile vurugu zilitokea siku ya mechi.
7. Mashabiki wa Yanga wanaenda airport kuwapokea wageni na viongozi wao wanawapa baraka zote.
8. Siku ya mechi ya Simba na Orlando pirates pamoja na kaizer chief viongozi wa Yanga walivaa jezi za mpinzani hadharani wakionyesha kuwapa support wapinzani.
9. Viongozi wa Yanga walikuwa bega kwa bega na Jwaneng Galaxy kuanzia wanakuja Tanzania mpaka siku ya mechi mpaka halftime walikuwa pamoja kweli hii sio sawa.
10. Wataalamu wa yanga walio mtupia majini mayele wote walikuwa uwanjani kati ya mechi ya Jwaneng Galaxy na Simba ili kuwasadia wapinzani wao kufunga ila mwisho wa siku waliondoka na aibu.
NB: Simba hawajahi kushiriki kumsaidia mpinzani wakati anacheza na Yanga acheni roho mbaya.
Nasikitika kwa nini nimesoma upuuzi wa fala huyu!Ikiwa imepita siku moja tangu Simba amshushie kipigo kizito jwaneng galaxy pale kwenye dimba la Benjamin William mkapa, ni kawaida duniani kote lazima kutakuwa na team ambazo zina upinzani kwenye league husika kwa hyo sisi Tanzania tuna SIimba na Yanga ila kwa huu uhuni wanaoufanya Yanga kwa Simba viongozi wasikae kimya waswahili wanasema kisasi ni haki.
Kwa mambo haya waliyofanya Yanga walivuka mipaka:
1. Yanga waliwapokea jwaneng galaxy na wakawafadhili Kambi kigamboni.
2. Yanga walisafiri kwenda kwenye mechi ya Al Ahly wakamuacha video analyst ili asaidiane na benchi la ufundi la jwaneng galaxy.
3. Maneno aliyotoa kocha wa Jwaneng Galaxy kabla na baada ya mchezo alielekezwa na viongozi wa Yanga.
4. Gharama za usafiri, Malazi na chakula Jwaneng Galaxy hawakutoa hata senti moja tangia wamekuja mpaka wameondoka Tanzania Kigamboni FC walimaliza kazi.
5. Wachezaji wa Jwaneng Galaxy hawakuingia vyumba vya kubadilishia nguo kipindi cha mapumziko baada ya kuambiwa na Yanga kwamba Simba wameweka dawa vyumbani.
6. Yanga waliwaambia viongozi na wachezaji wa Jwaneng Galaxy kwamba Simba wana mbinu chafu nje ya uwanja hvyo wajiandae ndio zile vurugu zilitokea siku ya mechi.
7. Mashabiki wa Yanga wanaenda airport kuwapokea wageni na viongozi wao wanawapa baraka zote.
8. Siku ya mechi ya Simba na Orlando pirates pamoja na kaizer chief viongozi wa Yanga walivaa jezi za mpinzani hadharani wakionyesha kuwapa support wapinzani.
9. Viongozi wa Yanga walikuwa bega kwa bega na Jwaneng Galaxy kuanzia wanakuja Tanzania mpaka siku ya mechi mpaka halftime walikuwa pamoja kweli hii sio sawa.
10. Wataalamu wa yanga walio mtupia majini mayele wote walikuwa uwanjani kati ya mechi ya Jwaneng Galaxy na Simba ili kuwasadia wapinzani wao kufunga ila mwisho wa siku waliondoka na aibu.
NB: Simba hawajahi kushiriki kumsaidia mpinzani wakati anacheza na Yanga acheni roho mbaya.
Kama ni hivyo yanga wazalendo, maana wanalalamika kupewa chakula chenye sumuIkiwa imepita siku moja tangu Simba amshushie kipigo kizito jwaneng galaxy pale kwenye dimba la Benjamin William mkapa, ni kawaida duniani kote lazima kutakuwa na team ambazo zina upinzani kwenye league husika kwa hyo sisi Tanzania tuna SIimba na Yanga ila kwa huu uhuni wanaoufanya Yanga kwa Simba viongozi wasikae kimya waswahili wanasema kisasi ni haki.
Kwa mambo haya waliyofanya Yanga walivuka mipaka:
1. Yanga waliwapokea jwaneng galaxy na wakawafadhili Kambi kigamboni.
2. Yanga walisafiri kwenda kwenye mechi ya Al Ahly wakamuacha video analyst ili asaidiane na benchi la ufundi la jwaneng galaxy.
3. Maneno aliyotoa kocha wa Jwaneng Galaxy kabla na baada ya mchezo alielekezwa na viongozi wa Yanga.
4. Gharama za usafiri, Malazi na chakula Jwaneng Galaxy hawakutoa hata senti moja tangia wamekuja mpaka wameondoka Tanzania Kigamboni FC walimaliza kazi.
5. Wachezaji wa Jwaneng Galaxy hawakuingia vyumba vya kubadilishia nguo kipindi cha mapumziko baada ya kuambiwa na Yanga kwamba Simba wameweka dawa vyumbani.
6. Yanga waliwaambia viongozi na wachezaji wa Jwaneng Galaxy kwamba Simba wana mbinu chafu nje ya uwanja hvyo wajiandae ndio zile vurugu zilitokea siku ya mechi.
7. Mashabiki wa Yanga wanaenda airport kuwapokea wageni na viongozi wao wanawapa baraka zote.
8. Siku ya mechi ya Simba na Orlando pirates pamoja na kaizer chief viongozi wa Yanga walivaa jezi za mpinzani hadharani wakionyesha kuwapa support wapinzani.
9. Viongozi wa Yanga walikuwa bega kwa bega na Jwaneng Galaxy kuanzia wanakuja Tanzania mpaka siku ya mechi mpaka halftime walikuwa pamoja kweli hii sio sawa.
10. Wataalamu wa yanga walio mtupia majini mayele wote walikuwa uwanjani kati ya mechi ya Jwaneng Galaxy na Simba ili kuwasadia wapinzani wao kufunga ila mwisho wa siku waliondoka na aibu.
NB: Simba hawajahi kushiriki kumsaidia mpinzani wakati anacheza na Yanga acheni roho mbaya.
Na wewe kwa akili zako timamu unaamini Mayele katupiwa majini??Kwani mimi na mayele nani anawajua yanga mbona alisema mmemtupia majini sasa uongo unakujaje.