Walichokifanya Yanga kwa Simba sio sahihi

Nyie nani anawaweza kwa ulozi kila siku TFF wanawapiga faini kwa kuruka ukuta.
 
niambie faida za ambazo Yanga wangepata kisasi kwamba watumie pesa nyingi kiasi hicho kuwa gharamia Jwaneng, story za airport ni mashabiki ambao gharama yao ilikua nauli ya daladala
Kwani engineer hersi na manara walipovaa jezi za Orlando pirates walipata faida gani ushaambiwa adui hana sababu hata kama yeye hanufaiki na chochote ni roho mbaya tu.
 
Ujinga nao ni mzigo kamsikilize Rais karia alichokisema, umbumbumbu wenu wa kuzusha mambo ya ovyo ovyo na kuyaleta humu bila ushahidi mtakuja kuinamishwa siku moja!
 
Kwani engineer hersi na manara walipovaa jezi za Orlando pirates walipata faida gani ushaambiwa adui hana sababu hata kama yeye hanufaiki na chochote ni roho mbaya tu.
Hasimu wako kuvaa jezi ya mpinzani wako wewe inakuathiri nini???
Mbona akili za kipumbavu hizi??
Cheza mpira onesha kiwango uwanjani maisha yaendelee.
Kitu kidogo malalamiko kibaaooo kwa mtindo kama huu nina shaka kama hata we jamaa una maendeleo binafsi.
Maana usikute hata kazini ukiguswa kidogo umejaa.
 
NIlijua unajenga hoja , ila nilipoona namba 10 nikagundua uwezo wa Ubongo wako.
Am off
 
Maendeleo yangu binafsi ww hayakuhusu halafu hata kama yanakuhusu wewe huwezi kufanya watu wote wawe na maendeleo ww mwenye maendeleo nenda airport ukapokee wageni ili uongeze kipato.
 
Utopolo wana wivu sana na Simba, wanalazimisha kufanana kimataifa.Bado wana mengi ya kujifunza wakubalii tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…