Meja Jenerali Isamuhyo
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 3,709
- 10,896
Sialisema mama analewa whiskeyAliepitishwa kugombea Ubunge Tanga mjini ni mtu ambaye alipata kura 80 tu za Wajumbe kati ya kura 10,176/= zilizopigwa.
Yaani 1%!!! Na bado tutaendelea kuaminishwa kuwa Viongozi wanapatikana kwa kupigiwa kura?? 😳
Pole sana Odo!!
Sialisema mama analewa whiskey
Reforms zinazo piganiwa na CDM zingewasaidia hata CCM hasa wale wanao katwa kwa hila kugombea,wangeweza kutafuta jukwaa lolote na kugombea ubunge na hatimaye kushinda.Hio ndio CCM!]
Hio ndio CCM!]
Kuna maeneo kama matatu hivi ndio yamefanyika mabadiliko maeneo mengine walioshinda ndio waliotangazwaKumbe? Ndio sababu iliyompokonya tonge la uwaziri?
Ilisemaje mkuuUlisikia ile voice note ya Odo?
Angalia comment ya kwanza kabisa hapo juu.Ilisemaje mkuu
Akikuambia unistue mkuuIlisemaje mkuu
Hakuna wa kupingana na mwenyekiti ambaye ni Rais wa Tanzania, ambaye Kwa Tanzania akitoka Mungu anafuata samiaKwani maamuzi hufanywa na mtu mmoja? Au wanabishana kwa hoja kwenye hiyo kamati yao na kufikia uamuzi Ummy tumwache.
Duhh nimeona mkuu..labda Kuna mengine nyuma ya pazia..kama ni whiskey hii hii sizani kama ni tatizo sanaAngalia comment ya kwanza kabisa hapo juu.