Black nyeti
JF-Expert Member
- Jun 30, 2025
- 692
- 1,131
Hata kama yatawekwa hadharani nani atakuwa mtetezi sasa wakati serikali yoooote ni CCM.....Wote waliokerwa na liccm ni wakati wenu kuweka hadharani mambo yote maovu yaliyoko huko
Kama Mbwai na iwe Mbwai
Hahaha katoa Siri ya ndani sio poa tukiona analembua lembua kwenye podium whisky imekoleaSialisema mama analewa whiskey
Kwani maamuzi hufanywa na mtu mmoja? Au wanabishana kwa hoja kwenye hiyo kamati yao na kufikia uamuzi Ummy tumwache.
Tulipo onya hapa kuhusu Raia feki kushika nchi mlidhani masihara ...sheria zetu na katiba yetu kuhusu uraia ni lazima ibadilishwe haraka sana ili watu kama kina Rostam azizi wasije kuangamiza taifa ... Wale wasudani wa muhimbili habari zao zimefunikwa atujui nini kinaendekea siku ya siku watakutwa bungeni tayari ni raia ....KANUNI ZA URAIA ZINATAKIWA KUWA NA DARAJA 5 ZA RAIA ZENYE MAJUKUMU NA MIPAKA TOFAUTI ..ni uoumbavu kumoa msamali au mburundi uraia leo na hapo hapo anaweza kugombea cheo chochote cha nchi ...CCM ilisha tekwa nyara na RAIA FEKI SIKU NYINGI SANA NA SASA WANAMALIZIA KUITEKA NYARA TANGANYIKA HUKU JESHI LIKITAZAMAAliepitishwa kugombea Ubunge Tanga mjini ni mtu ambaye alipata kura 80 tu za Wajumbe kati ya kura 10,176/= zilizopigwa.
Yaani 1%!!! Na bado tutaendelea kuaminishwa kuwa Viongozi wanapatikana kwa kupigiwa kura?? 😳
Pole sana Odo!!
Huko unakuta demu mzuri ila aliyoivaa ni ya kitenge kiasi kwamba hata akija geto unajiuliza mala mbili mbili nimvue au asepe tu kwa aina ya chupi za tanga.......Mwambie tanga hii biashara inalipaView attachment 3451030
Zingewesaidiaje? CHADEMA wanasema Tume isoiteuliwe na Rais (iwe Nji ya kwanza duniani Taasisi ya Serkali kutoteuluwa na Rais na kuwahibuka kwake KWA NIABA YA WANANCHI WALIOMPA HAYO MADARAKA, IKIWAMO KUMNYONGA MTU AU KUMDAMEHEME, DUNIA NZUMA IKO HIVYO TUNDU ANAAMINI WATANZANIA HAWAJUI NA HAWANA AKILI KASORO YEYE. Aidha, wanataka Wakala aapishwe na Chama chake badala ya Dola. Tatu wanatanga wagombea wasoenguliwe, mfano yule Wakili wao aliyefombea Uenyekiti Serkali za Mitaa Manyoni huku yeye anaishi Buguruni na kufanya kazi Law Firm iliyoko Kariakoo. Nne, wanataka Rais aitwe ushahidi na ashitakiwe Mahakamani adhalilishwe na maseali ya kunya ya Kibatala huku wakati huo Nchi ivamiwe na maadui. Haya yote yangemsaidiaje Mheshimiwa Makamba?Reforms zinazo piganiwa na CDM zingewasaidia hata CCM hasa wale wanao katwa kwa hila kugombea,wangeweza kutafuta jukwaa lolote na kugombea ubunge na hatimaye kushinda.
AiseeAliepitishwa kugombea Ubunge Tanga mjini ni mtu ambaye alipata kura 80 tu za Wajumbe kati ya kura 10,176/= zilizopigwa.
Yaani 1%!!! Na bado tutaendelea kuaminishwa kuwa Viongozi wanapatikana kwa kupigiwa kura?? 😳
Pole sana Odo!!
Wahuni Kwenye MfumoHio ndio CCM!]
Pumba tupu,Zingewesaidiaje? CHADEMA wanasema Tume isoiteuliwe na Rais (iwe Nji ya kwanza duniani Taasisi ya Serkali kutoteuluwa na Rais na kuwahibuka kwake KWA NIABA YA WANANCHI WALIOMPA HAYO MADARAKA, IKIWAMO KUMNYONGA MTU AU KUMDAMEHEME, DUNIA NZUMA IKO HIVYO TUNDU ANAAMINI WATANZANIA HAWAJUI NA HAWANA AKILI KASORO YEYE. Aidha, wanataka Wakala aapishwe na Chama chake badala ya Dola. Tatu wanatanga wagombea wasoenguliwe, mfano yule Wakili wao aliyefombea Uenyekiti Serkali za Mitaa Manyoni huku yeye anaishi Buguruni na kufanya kazi Law Firm iliyoko Kariakoo. Nne, wanataka Rais aitwe ushahidi na ashitakiwe Mahakamani adhalilishwe na maseali ya kunya ya Kibatala huku wakati huo Nchi ivamiwe na maadui. Haya yote yangemsaidiaje Mheshimiwa Makamba?
Kumbe bi mkubwa ana gwida!!Sialisema mama analewa whiskey