Walichopata madaktari baada ya mgomo

Walichopata madaktari baada ya mgomo

Hatimaye akili zimekurudi , naona leo umechangia vyema kwa kutumia kichwa. Keep it up
BTW Wakenya wako mbali sana kuliko sisi, na ni watu wanaojitambua. Hawawekwi makwapani na watawala a.k.a wanasiasa.
Laiti kama watu kama Barbarosa wangejitambua na kuacha kulamba viatu vya watawala tungekuwa mbali sana.[/QUOTE]


Haya sawa, lkn nijibu kwanza Manesi wameongezewa Shilingi ngapi?
 
Kijana daktari anayetokea chuo bila ujuzi (medical intern) atakua anapiga mpunga wa kitita cha Kshs 196,244 (Tshs 4,513,612)

Daktari Kenya anayeanza taaluma, yaani entry level ya job group N (mid-level medical officer) mshahara wake umepanda kutoka Ksh 146,190 (Tshs 3,362,370) hadi Kshs 241,524 (Tshs 5,555,052) hii ni pamoja na mafao mengine saba.
Wale specialist mishahara yao imepanda hadi Kshs 442,060 (Tshs 10,167,380) pamoja na mafao lukuki.

Hongera zao, ila ingekua bora maafikiano kama haya yanatekelezwa bila maafa kwa Wakenya, wengi tumeteseka kisa pande zote mbili hakuna aliyekua tayari kushuka. Natumai na kuomba wana taaluma zingine wasiingie kwenye migomo na pawe na jinsi ya kuwarekebishia maana tukiendelea hivi, sitashangaa kuwaona wanajeshi wetu nao wamegoma japo hawaruhusiwi.

INFO.jpg

Death, pain: Cost of hospital strikes
Samahani mkuu kuna vitu ningependa kufahamu kidogo
1.Kenya kuna vyuo vingapi vya udaktari ?
2.Hakuna madaktari walioko mtaani wasio na ajira ?
maana nimepata utata kidogo kuona wamekuja kuomba madaktari bongo, nisaidie data hapo kama unafahamu.
 
Hatimaye akili zimekurudi , naona leo umechangia vyema kwa kutumia kichwa. Keep it up
BTW Wakenya wako mbali sana kuliko sisi, na ni watu wanaojitambua. Hawawekwi makwapani na watawala a.k.a wanasiasa.
Laiti kama watu kama Barbarosa wangejitambua na kuacha kulamba viatu vya watawala tungekuwa mbali sana.


Haya sawa, lkn nijibu kwanza Manesi wameongezewa Shilingi ngapi?[/QUOTE]

December 2016 DailyNation; Nurses’ union officials have called off their national strike after governors signed to recognise their Collective Bargaining Agreement, a decision that has earned the caregivers of up to Sh20,000 monthly allowances.

Negotiations on the nurses four-year CBA will begin in January 2017 and will stretch until no further than March 2017.

The recognition agreement specifies that nurses in Job Group M and above will earn Sh15,000 in special allowances while those in Job Group G to L will receive Sh20,000 every month

The documents were signed by Health Cabinet Secretary Cleopa Mailu, Kisumu Governor Jack Ranguma (Health chair, Council of Governors), Kisii Governor James Ongwae (Human resources point person, Council of Governors), Kenya National Union of Nurses Secretary-General Seth Panyako and Chairperson John Bii.

kwa monthly pay wanapata kando na allowancws hapo juu

Civil Service Job Group Basic Salary Common Allowances Gross Salary
Min.
Max. House Commuter Min. Max.
A 8,910 9,420 3,000 3,000 14,910 15,420
B 9,420 9,960 3,000 3,000 15,420 15,960
C 9,660 10,380 3,000 3,000 15,660 16,380
D 10,380 11,370 3,300 3,000 16,680 17,670
E 11,370 13,140 3,500 3,000 17,870 19,640
F 12,510 16,050 3,500 3,000 19,010 22,550
G 16,692 21,304 5,000 4,000 25,692- 30,304
H 19,323 24,662 5,000 4,000 28,323 -33,662
J 24,662 29,918 6,000 4,000 34,662 -39,918
K 31,020 41,590 10,000 5,000 46,020- 56,590
L 35,910 45,880 20,000 6,000 61,910- 71,880
M 41,590 55,840 20,000 8,000 69,590 -83,840
N 48,190 65,290 24,000 8,000 80,190 -97,290
P 77,527 103,894 40,000 12,000 129,527 -155,894
Q 89,748 120,270 40,000 14,000 143,748- 174,270
R 109,089 144,928 40,000 16,000 165,089- 200,928

S 120,270 180,660 60,000 20,000 200,270 260,660
T 152,060 302,980 80,000 24,000 256,060 406,980

manesi wako rangi ya kijani kando na allowances hapo juu!

 
Back
Top Bottom